Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Asitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Tulieni tuliii, si alitaka 50/50 ama?
Umejiuliza kwanza ni hasara kiasi gani alikuwa anaenda kumtia?

Huyu inabidi awe mfano na uzuri mahakama za wenzetu wanatenda haki hata akichomoka akili itakuwa imemkaa vizuri
Alikua anasubiri around Pound 70Million kutoka kwa Achraf H. Hizo ni kama zaidi ya Billion 208 za kitanzania. Just in five years, kibaya zaidi ndie aliye mstari wa mbele kuchochea tuhuma za ubakaji anazoshutumiwa kwazo dogo. Anatafuta nini?
 
Acha ujinga wako nani ameanza kutengeneza hiyo chuki na uadui?

Kisa ni mwanamke mnamtetea matako ya fisi nyie
you are a disgrace to your own parents. nini kinakufanya kila post unatukana? Wazazi wako walikukuza hivyo?
 
Child support atatoa nini na hana kitu? Labda bibi mtoto atoe
ana mkataba wa kazi mkuu, the law is not that blind. Mahakama inaweza hata ikamwamuru mwajiri wake afyeke mshahara uende kwa ajili ya watoto wake.

Na pia ile kupeleka mshahara kwa mama yake si kwamba amefanya sasa hivi alifanya hivyo kama takwa la kisheria kwa sababu mara ya kwanza anasaini mikataba alikuwa under 18 (a minor). Lakini kwa sasa yuko 24 ni mtu mzima huyo, huyo ex wake akipata mwanasheria mzuri, mambo yanaweza yakageuka.
 
Sasa sheria hazifanani kote ukute anataka nusu ya mali ili aitumie kama child support. Hakim hana mali ni za mama yake kisheria na anaweza kusema watoto warudi kwa mama yake walelewe kwao kama yeye anavyolelewa na mama mzazi kama na dada atasema anashindwa kuwalea bila msaada wa hakim. Mahesabu ya dada kushinda ni magumu sana
ni kweli mkuu, hii issue ina sura nyingi sana. jamaa alianza kusaini mikataba ya kazi akiwa under 18 hivyo mzazi ni lazima asimamie mali zake. lakini sasa yuko 24, eti bado ni mtoto mali zake zisimamiwe na mzazi...mhhh. ...kwa kuwa wameanika upuuzi wao, ngoja tuone wanavyoendelea kukomoana
 
Wewe ni mshauri kutoka tandahimba, mapenzi hua hayapo kama unavofikiri wewe
mpumbavu hawezi kuelewa hata maana ya child support. Kwa taarifa yako ulaya na marekani si kama huko kwenu tandahimba ambako unaweza ukatia mwanamke mimba kisha ukatokomea usitoe gharama za matunzo kwa mtoto. Usipofanya hivyo hata kufungwa unafungwa na siku ukitoka utalipa kuanzia siku mtoto aliyozaliwa.
 
Kwanza Povu linatutoka kwenye huu uzi wakati hii habari ni ya uongo [emoji1]
Hakimi hajafungua kesi ya madai dhidi ya mkewe, tumeingizwa maboya na sie tumejaa,

Tangu kesi ya Talaka sio Hakimi sio Hiba walioongea kitu, probably wanazungumza kifamilia, ila huyo Hakimi hawezi kua mjinga kiasi cha kufungua kesi kudai pesa za Mwanamke, hayo ni mawazo ya Wanaume wachovu wa Kitanzania wanaomiliki smartphone, kibamia na goroli mbili [emoji1]
Kwaiyo mke wake alikuwa mjinga kudai wagawane mali?
 
Asitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Sheria ni msumeno hukata huku na huku.

Mali za mwanaume mnataka pasu kwa pasu ila za kwenu hamtaki pasu pasu.

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu..[emoji3][emoji3]

Huyo mwanamke anatakiwa aonje joto la Jiwe.Malezi ya watoto yapo tu baada ya kugawa MALI...[emoji3]
 
Back
Top Bottom