Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Mhhh kwa hiyo yeye ana sign bila kujuwa ni nini? kosa kama hilo mtu kwanini asishikwe kupelekwa mahakamani maana katia hasara nchi mabilioni. kwa hiyo bunge likipitisha sheria hakuna follow up kuna mtu mmoja anaweza kubadili kila kitu. siwaangalie nini kilichopitishwa na bunge na kinalingana na sheria ya sasa tusifanyane watoto wadogo hapa au wajinga. kama huo ndio mchezo basi sheria zote zina mashaka maana hatujui ndio kilichotungwa au kilibadilishwa.
 
Mbona mnapotoshwa ukweli? huyo mzungu kasema wanazo documents kuonesha wame declare baadhi ya mafuta ni safi na mengine crude wao walikuwa wanataka yote kuwa safi mwisho wa siku wafanya biashara wameshinda pale kujikosha tu ndio sababu kusema kabadilishe sheria haraka bungeni kwa maana hata yale ya 10% iwe 25% sasa huo msaada mwananchi utakaopata ni mafuta kupanda bei tu hakuna kushuka.
 
Bado kuna vacancy ya ueria kamishna?
 
Yule bila shaka katumwa kuja kuwawakilisha mabeberu wenzie.
 
atakuwa ni mmoja wa wafadhili wakuu wa October 2015 sasa anatafuta recognition.

pay back time dadeki!!
 
Mazingira ya jana....ili kuwa ngumu sna kwa ssi walinzi ....nilijuta kuwepo pale

Yule Mzungu...inaoneka..ni mubifadhi au ana masrahi mapana na ule mzigo.

Mbona hukuona mapapa
Yale tuliyokuwa tunagawa
Na kijana aliyeomba nauli kwa Mzee

Jana...chai ...bila kuonja...
Tulibisha
 
Mtu anaye jiamini, na anakubalibresponsibility kwa lolote.
Siyo nyie badala ya kujieleza ukiona mkubwa domo lageuka zege!
 
Yule alikuwa kama anaweweseka vile ila hakuwa na madhara yeyote maana alikuwa ameshachekiwa (usiniulize kachekiwaje)
 
enock nimekuona hapo juu umecoment, endelea kukaa na hio hela yangu, mimi sidhurumiwi nakuhakikishia nisipoweza kukupa mapigo saba matakatifu nitakufungulia uzi na real ID yako jf au bora nikubambikie kesi ya msuya na ya uhaini. Shwain kbsa wewe bichwa kama furush la ushirombo. Still you have time to make it, although no warning again
 
enock nimekuona hapo juu umecoment, endelea kukaa na hio hela yangu, mimi sidhurumiwi nakuhakikishia nisipoweza kukupa mapigo saba matakatifu nakubambikia kesi ya msuya na ya uhaini. Shwain kbsa wewe bichwa kama furush la ushirombo
Duh imekuwaje mkuu umeumizwa nini!hebu funguka hii ni jf kama umefanyiwa ujinga weka wazi humu na Mtu huyo ajulikane!haiwezrkani ukafanyiwa upuuz Alafu Mtu akaachiwa tu humu

Ova
 
Kwan kaanza leo mambo ya ugawaji??ni kawaida yake kilaa ziara kutoaa mgao.....mpaka ela huwa anagawa .....chezeaa raisi wetu kipenzi ww
 
Yule mzungu ni General maneger wa Murzah Wilmar East Africa Ltd, anaitwa Claudio.
 
unashangaa nini cha kushangaza hapa ni wewe hujui kwamba magufuli analindwa kuliko raisi yeyote wa tz aliyepita.......... sasa ujue lazima anajulikana vizuri ndo maana yuko hapo ngoja nimtafute kwenye video nijionee mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…