Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Vile natamani ningekua maeneo ya bandarini leo, ningepata mapapai na mahindi mana maisha magumu basi tunapewa mapapai tulainishe tumbo hasira za kutoa vitu vigumu zipungue
 
We jamaa sijui kwanini unakuwa mjinga.. Soma hapa alicho kisema Dr. Magufuli



=>Kwenye Ofisi ya AG alikuwa na tabia ya kufanya amendment
ya Muswada uliotoka bungeni. Yaani wabunge wanapitisha
sheria, yeye anaeda kubadilisha na kuweka maneno anayoyataka yeye ndo anampa rais asaini. Ni
tabia mbaya ilikuwa.
Alichofanya Rais hapo ni kukwepesha lawama kwa wabunge kuwa wanapitisha madudu kwakuwa nayeye hatakwepa lawama hizo sababu nayeye alikuwepo wakati wanapitisha madudu hayo hasa wabunge wa CCM.
kumbuka wabunge wanapitisha sheria lakini wao sio wabobezi wa sheria kwahiyo ofisi ya AG lazima ipitie ili kurekebisha sehemu zenye upungufu wa kisheria,nimeshaona hata bunge lililopita mwanasheria mkuu akielekezana na wabunge namna ya kuchagua maneno ya kuingia kwenye jambo walilokubaliana kulipitisha.
 
Tunamwomba mh rais kutambua kuwa mchanga wa makenikia bado upo hapo. Kama vipi tugawiwe huo mchanga tufyetulie matufali kupandisha ntumba zetu thamani!
😀😀😀😀😀
 
jamaa anapenda kweli live covarage. yupo live anaelezea process za kutengeneza/ kuchuja mafuta. crude, semi refine double refine na maprof sijui nini? ina kera kweli

halafu unamsikiliza....wa ajabu sana mkuu

unajua wanaojua kumchukia mtu vizuri..huwa wanakaa kimya

watu wa aina yako ni fata mkumbo

JPM yupo tu
 
Habarini wadau!
Leo mheshimiwa rais alipoenda bandarini kumaliza tatizo la mafuta kulikuwa na mzungu mmoja pembeni.
Huyu mzungu bana alivyokuwa ana act was very weird alafu alipopewa mic kuongea analazimisha rais aende morogoro kwenye kiwanda chake! Na rais naona kampa jibu zuri kweli, wasiliana na waziri husika pamoja na katibu mkuu husika.
Cha kushangaza zaidi baada ya kumaliza, anaanza kuongozana mbele na rais as if ni mkurugenzi wa bandari anamuonyesha maeneo mpaka watu wa usalama walipomsimamisha na kumrudisha nyuma.
Hivi ni nani yule mtu? Kanishangaza kweli aisee! Hiiiihiiiiiiihiiii.
 
Mimi nishaelewa,kuna watu walituaminisha kwamba mafuta yote yalikuwa declared ni crude,
wakati kumbe kuna ambayo ni semi na double refined.

Kama mzungu anadai kuna mengine walisema ni refined lakini TRA wakadai yote ni refined then kuna tatizo ama wafanyabiashara kutaka kudanganya,ama TRA kudai kodi ya mafuta safi kwa mafuta yote.
Mkuu umesema 100% correct, kuna siku niliskia bungeni kwa waziri kuwa TRA wanadai yote refined sababu wameona paper zingine crude zingine refine na ndio kilichotokea jana TRA wameshindwa. yule mzungu hakupewa kuongea ukweli ila sehemu ndogo aliyosema ujumbe ukafika kasema kuna mafuta yako declared ni refined na paper wanazo hawajesema yote crude ndio maana hakuna jipya jana. kweli issue kama ile ndio ya kuchukuwa zaidi ya wiki 2? baada ya kufail jana ndio maana wamesema wakimbie haraka bungeni wabadilishe sheria. na uhakika mafuta hayatashuka tena bei itakuwa kama sukari ndio mwisho wa movie. mlaji ndio atakayeumia tu hata wakilipa hiyo 25% mwisho wa siku sisi tutalipa gharama hizo sio mfanya biashara. kuna kitu jana nimeshangaa sijui sikuelewa kule wanalipa 25% plus 18% VAT na huku mlaji pia analipa 18% VAT? hii ikoje jamani
 
Yupo live tbc.
Nani anagharimia live yake? Si walisema ni bei ya aghali kuwa live? Hao watangazaji wanaposafiri naye mpaka mikoani akawa live, nani analipia? Je, bunge ni aghali sana kuliko ziara za mikoani kuwa live?
 
Back
Top Bottom