Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

walikutana wapi ndugu mpaka hiyo nauli ikaombwa
 
From all things around the world of this country unaomba nauli kweli? above all? Naitamani hiyo chance nimeet nae, atajuta...

[HASHTAG]#Japomkuukamuangushahuyokijana[/HASHTAG]
 
IMG_5940.JPG
 
Kaa kushoto. Tupishe wenye mapenzi mubashara na Rais wetu atuongoze. Vimba tumbo na ubongo hdi 2025, bado yupo sana
upo hapo kwa sababu ulisoma magogoni. vingnevyo ur empty minded. nakumbuka kuna kijana alimaliza CBE. akapata kazi kwa kubebwa kuwa afisa biashara mhali alipozaliwa. alienda kusoma akamaliza japo kwa sups za kutosha. wakati wa thesis aliniletea kazi yake. ya kununua. niakaichallenge. hjaja tena kwangu akenda kwa mtu. rafiki. tukwa tunaifanya ile kazi bila yye kujua. kamaliza shule anasema ni masters holder. aliomba kazi huko bungeni. hajui hata kuandika brua. nilimuandikia. hajapat kazi. mtu huyu hna tofauti na wewe. kutwa kucha mkoani kwa wakubwa. akijipenfekeza. yaweza kuwa wewe
 
MAGUFULI ni mfano wa viongozi wasiokuwa na maono. sikuona nia wala sababu za alichokifanya leo. waliomfanya awe raisi walikosea sana. angepanda cheo sana angekuwa wazir mkuu. atafanya vibaya kuliko waliotangulia
huyo anatutoa kwenye maigizo na kuturudisha tunakotakiwa tuanzie.kama huna chakula jipime hukustahili hayo unayoigiza.tumia vizuri hizi mvua.
 
MAGUFULI ni mfano wa viongozi wasiokuwa na maono. sikuona nia wala sababu za alichokifanya leo. waliomfanya awe raisi walikosea sana. angepanda cheo sana angekuwa wazir mkuu. atafanya vibaya kuliko waliotangulia

Akishastaafu mtamsifia Kama mnavyomsifia JakYa Leo
 
Huyo lijamaa ni likuda la lumumba....
Tena kijani ndaki ndaki, nalifahamu!
 
Maigizo tu haya, wanajitekenya wenyewena kujichekesha
 
Bila shaka hiyo nauli ilikuwa ya kumfikisha kijijini kwao ili akaanze kulima
 
Sasa inajulikana 'mkemia' nyuma ya utata wa mafuta. Nilisema tangu mwanzo haya yalikuwa juu ya TBA, Mkemia Mkuu na TFDA. Na wala waziri w viwanda hakuwa na cha kufanya zaidi ya kusubiri maamuzi ya juu. Viwanda vya mafuta vinafungwa kwani ukishachaji semi refined kwa adilimia hizo kuna haja gani kuendesha kiwanda hicho. Vingi malihhafi yao ni hiyo inayoitwa semi refined.
 
Kiki za kitoto ktk vitu serious kuhusu maisha ya mwanadamu.

Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom