DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Magufuli mzukaaaaa
Afanye vibaya mara ngapi ?MAGUFULI ni mfano wa viongozi wasiokuwa na maono. sikuona nia wala sababu za alichokifanya leo. waliomfanya awe raisi walikosea sana. angepanda cheo sana angekuwa wazir mkuu. atafanya vibaya kuliko waliotangulia
Ngoja nawe uukwae ukoma ndo utamrudia munguHebu acha kuvitaja hivyo vijitu vyako kila saa. Usichoshe watu hapa.
Pedeshee Magu leo alikua anagawa mapapaiDaaah!! Kijana alikutana na Papaa Magu, Pedezhee Magu, mutu ya pesa.
Tunamwomba mh rais kutambua kuwa mchanga wa makenikia bado upo hapo. Kama vipi tugawiwe huo mchanga tufyetulie matufali kupandisha ntumba zetu thamani!Hivi yale makontena ya makinikia bado yapo hapo bandarini?? Mliopo hapo nijuzeni tafadhali.
Mkuu namna hii na wewe unajua kuandika?upo hapo kwa sababu ulisoma magogoni. vingnevyo ur empty minded. nakumbuka kuna kijana alimaliza CBE. akapata kazi kwa kubebwa kuwa afisa biashara mhali alipozaliwa. alienda kusoma akamaliza japo kwa sups za kutosha. wakati wa thesis aliniletea kazi yake. ya kununua. niakaichallenge. hjaja tena kwangu akenda kwa mtu. rafiki. tukwa tunaifanya ile kazi bila yye kujua. kamaliza shule anasema ni masters holder. aliomba kazi huko bungeni. hajui hata kuandika brua. nilimuandikia. hajapat kazi. mtu huyu hna tofauti na wewe. kutwa kucha mkoani kwa wakubwa. akijipenfekeza. yaweza kuwa wewe
Litaitwa ni tukio la kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe.Hivi kisiasa, iwapo nikiamua kutengeneza tukio au tatizo halafu nikaanza kulitatua mwenyewe, hii inaitwaje kisiasa?
Hili ombi langu halihusiani na hii ziara ya mtukukufu rahisi
UchokoziHaijafanyiziwa = Haijafanyiwa
Ine = Nne
Mchukulie Maanani = Muwe makini
Santuri ya mwaka 47 yaendelea kupigwa...jamani hii santuri imechuja, mshaurieni Sizonje atafute mpya!Litaitwa ni tukio la kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe.
Wewe unayekejeli cha ajabu ni kwamba unatumia kiswahili hicho hicho.Jamaa kamkimbia mzungu kweki lugha ya malkia nomaà
Rais kilasiku analalamika,"wanatuibia wanatuibia"leo anakamata mwizi anashikana nae mikono!?Hata aliyehukumiwa kunyongwa ana haki ya kula chakula kizuri kabla ya kunyongwa!
.....mwalimu wa chemistry, anakijua anacho'ongea !jamaa anapenda kweli live covarage. yupo live anaelezea process za kutengeneza/ kuchuja mafuta. crude, semi refine double refine na maprof sijui nini? ina kera kweli