Mzungu kasema wana documents wali declare jamaa walitaka yote kuwa refined mwisho wa siku wameona bora wakabadilishe sheria haraka yawe 25% hii ngoma huko mbeleni bado sana tusitegemee unafuu soon.Kwakweli,kwa maelezo yaliyotolewa hapo sijaona tatizo la kumfanya Rais kuingilia kati,maana kama kungekuwa na tatizo basi mtu angetumbuliwa hapo.halafu eti kuna waliyoficha hawajayadeclare!?halafu haohao ambao hawajadeclare mafuta wamekwepa kodi wanashikana mikono na Rais!?
mimi hapo sijakuelewa,unataka kusema waliyachanganya?,even so,ukishachanganya yanakuwa crude na yatahitaji tena kupitia process za kuwa refined,as simple as that,Nampongeza kaimu Kamishina wa TRA aliyesimama kidete , maana imegundulika haya mafuta siyo CRUDE bali ni mchanganyiko yako Crude yanayotozwa 10% tax , Semi refined 10% na double refined yako Matanki 7 yaliyopaswa kulipiwa 25%. Hongereni TRA kusimamia ukweli huu
mimi hapo sijakuelewa,unataka kusema waliyachanganya?,even so,ukishachanganya yanakuwa crude na yatahitaji tena kupitia process za kuwa refined,as simple as that,Nampongeza kaimu Kamishina wa TRA aliyesimama kidete , maana imegundulika haya mafuta siyo CRUDE bali ni mchanganyiko yako Crude yanayotozwa 10% tax , Semi refined 10% na double refined yako Matanki 7 yaliyopaswa kulipiwa 25%. Hongereni TRA kusimamia ukweli huu
Naona siku hizi TBC kimegkuwa ni Kitengo cha Magogoni .......... Ziara ya kushtukiza lakini WAPO!!
Zote zinafanya Kazi kwa maagizo yake wafanyabiashara wasitupiwe zigoMkuu wetu hapa anachemka kwa kutokua na imani na TBS na kuonyesha wazi kuwasifia TRA, hizi zote ni taasisi nyeti za serikali inabidi awe makini na maamuzi/matamshi yake.
Muda ni mwalimu mzuri
viwanda sio mchezo wa siasa kakaZiara ya ghafla na TBC wapo ! Humdanganyi mtu yeyote ! Halafu badala ya kukagua hivyo viwanda zaidi ya elfu 3 ambamo bila shaka vya mafuta ya kula vimo kwanini anaenda bandarini ?
Hata aliyehukumiwa kunyongwa ana haki ya kula chakula kizuri kabla ya kunyongwa!Kwakweli,kwa maelezo yaliyotolewa hapo sijaona tatizo la kumfanya Rais kuingilia kati,maana kama kungekuwa na tatizo basi mtu angetumbuliwa hapo.halafu eti kuna waliyoficha hawajayadeclare!?halafu haohao ambao hawajadeclare mafuta wamekwepa kodi wanashikana mikono na Rais!?
Subiri Elimu ya ngumbaru!huyu Mzee Mimi bado waga simuelewi tu cjui ntaanza kumuelewa lini niambieni tafadhali
juzi kamtoa sugu, Jana kamtoa lulu, ieo kaokota mapipa ya crude oilWatakwambia "kakamata" tani kadhaa za mafuta zilizokuwa zimefichwa na kahakikisha zinaingia mtaani leo leo kuwasaidia raia wanyonge wanaokaribia kuanza mfungo.
Ikiwa umefuatilia hili saga tokea mwanzo utaona TBS walikua upande wa wafanyabiashara kwa kusema hayo mafuta ni ghafi ila TRA wao wakakomaa na kusema na safi so walipe 25% badala ya 10% ya ghafi. Cha kushangaza hapa ni je, wao TRA wana mamlaka gani kuingilia kazi ya TBS ilhali hawana utaalam wa kupima ubora wa bidhaa?Zote zinafanya Kazi kwa maagizo yake wafanyabiashara wasitupiwe zigo