hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
trick za Adolf Hitler hzo na iddi amin dadaNi kawaida,unetengeneza tatizo,halafu unalitatua ili uonekane "mkombozi".
trick za Adolf Hitler hzo na iddi amin dadaNi kawaida,unetengeneza tatizo,halafu unalitatua ili uonekane "mkombozi".
Anasema kabaini matenki 15 ya mafuta ya kupikia yaliyojaa hayana mwenyewe .Ameokota vichwa vya treni tena???
Mkuu Bob wote wako SAHIHI. Kulingana na sheria na Kanuni za TBS, TBS wako sahihi. Na Kulingana na sheria na kanuni za Customs, TRA wako sahihi. Nafikiri ndiyo maana Mheshimiwa Rais ameagiza marekebisho ya kisheria yafanyike.Ikiwa umefuatilia hili saga tokea mwanzo utaona TBS walikua upande wa wafanyabiashara kwa kusema hayo mafuta ni ghafi ila TRA wao wakakomaa na kusema na safi so walipe 25% badala ya 10% ya ghafi. Cha kushangaza hapa ni je, wao TRA wana mamlaka gani kuingilia kazi ya TBS ilhali hawana utaalam wa kupima ubora wa bidhaa?
Hiyo stailo yake haina mvuto tena.
Katika kutafuta tafuta channel nikamkuta anaongea,nilitoa fasta,,,sitakagi kumsikiliza huyu mtu
Hilo ni kweli,kiongozi Mtendaji siku zote hasubiri kusimuliwa!
Your perceptioncheap public stunt.
create the problem, then come back in and offer the solution that the people demand.
Sio Yanga! Acha kumtukana RaisiMagufuli ni simba
Wazo kuna nini,ori qwasinda?TBC nao viherehere kweli. Hayo ni matukio tu ya kupangwa ili jiwe lionekane ni jiwe kuu la pembeni. Mbona wakati anakwenda Wazo hawaoneshi.