Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Mzungu kasema wana documents wali declare jamaa walitaka yote kuwa refined mwisho wa siku wameona bora wakabadilishe sheria haraka yawe 25% hii ngoma huko mbeleni bado sana tusitegemee unafuu soon.
 
mimi hapo sijakuelewa,unataka kusema waliyachanganya?,even so,ukishachanganya yanakuwa crude na yatahitaji tena kupitia process za kuwa refined,as simple as that,

kurefined sio neno la ajabu,maana yake ni kuchuja,
sasa ukiyachanganya si yanarudi kuwa crude?,
maana umeyachanganya na ghafi,so yanarudi kuwa machafu tena na yatahitaji tena kuchujwa ili yawe masafi,
nilishauza mafuta crude oil kwa murzah,matanki kwa matanki,
tulichokuwa tunafanya baada ya mbegu kupitia expeller,mafuta yanakuwa yametolea makapi,ama mashudu na ndo yanautwa crude oil,yakitoka hapo ndo yanaingia refinery,sasa kabla hayajaingia refinery,Murzah anakuja na matenka yake mnauza,
yeye ndo anakwenda kuyapitisha refinery na double refinary,unapata mafuta safi ya Korie,

sasa ukichanganya mafuta safi na crude,hukwepi gharama maana tena itabidi yote yachujwe upya.

Ili kuondoa tatizo kodi ziangaliwe upya,maana malighafi ya ndani haitoshi kulisha viwanda
 
Huu ukaole wa msimu huu hata mwanangu rahisi kuutambua.
 
Hii awamu ni maumivu tu bahati nzuri kuisoma namba hakumchagui mwana ccm wala chadema namba inasomeka kote kote
 
Naona siku hizi TBC kimegkuwa ni Kitengo cha Magogoni .......... Ziara ya kushtukiza lakini WAPO!!

Nimejiuliza sana sipati jibu unashtukiza na makamera aisee mtanzania msanii sana anajipiga hadi chenga mwenyewe.
 
Hapa kweli ni kutafuta kiki mahali ambapo hata hapastahili. Hivi tulihitaji Rais kuja kusema kwamba hii hapa ni crude na ile pale ni semi-refined? kama alivyosema Ndugai, hivi ni vitu vidogo sana. na kudhihirisha kwamba ni kiki tu iliyokuwa inasakwa kwa udi na uvumba, Rais wala hajatumbua mtu TBS wala Mkemia. "ameonya". sasa huyo siyo JPM ninayemfahamu. kama ingekuwa kweli jamaa wamechemka, angekuja juu kama moto wa kifuu na kutimua watu.
 
Mkuu wetu hapa anachemka kwa kutokua na imani na TBS na kuonyesha wazi kuwasifia TRA, hizi zote ni taasisi nyeti za serikali inabidi awe makini na maamuzi/matamshi yake.
Muda ni mwalimu mzuri
Zote zinafanya Kazi kwa maagizo yake wafanyabiashara wasitupiwe zigo
 
Mimi nishaelewa,kuna watu walituaminisha kwamba mafuta yote yalikuwa declared ni crude,
wakati kumbe kuna ambayo ni semi na double refined.

Kama mzungu anadai kuna mengine walisema ni refined lakini TRA wakadai yote ni refined then kuna tatizo ama wafanyabiashara kutaka kudanganya,ama TRA kudai kodi ya mafuta safi kwa mafuta yote.
 
Hata aliyehukumiwa kunyongwa ana haki ya kula chakula kizuri kabla ya kunyongwa!
 
Watakwambia "kakamata" tani kadhaa za mafuta zilizokuwa zimefichwa na kahakikisha zinaingia mtaani leo leo kuwasaidia raia wanyonge wanaokaribia kuanza mfungo.
juzi kamtoa sugu, Jana kamtoa lulu, ieo kaokota mapipa ya crude oil
 
Zote zinafanya Kazi kwa maagizo yake wafanyabiashara wasitupiwe zigo
Ikiwa umefuatilia hili saga tokea mwanzo utaona TBS walikua upande wa wafanyabiashara kwa kusema hayo mafuta ni ghafi ila TRA wao wakakomaa na kusema na safi so walipe 25% badala ya 10% ya ghafi. Cha kushangaza hapa ni je, wao TRA wana mamlaka gani kuingilia kazi ya TBS ilhali hawana utaalam wa kupima ubora wa bidhaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…