Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Wewe huna akili, Wala simuonei wivu mtu yoyote hapa Duniani.Walivyoishi kipimbi ule utajiri wao ulikuja kwako?
Roho ya umaskini ni mbaya sana.
Siku zote maskini huwa na chuki dhidi ya matajiri.
Chawa wa Tajiri naye ni tajiriNingeshangaa sana kama nisingekuta comment kama hii. Na wewe ni tajiri kama Salah?
Dunia uwanja wa vita mzee [emoji1]Makatili sana.
Una ushahidi wa haya?Wewe huna akili, Wala simuonei wivu mtu yoyote hapa Duniani.
Nachotaka Kila Mmoja Kwa Uwezo wake, aache Maisha ya ujanja ujanja ,kuumiza wengine na kunufaika Kwa mgongo wa wengine, kukwepa Kodi, biashara harmu za madawa ya kulevya n.k
Hao ni lazima waishinkipimbipimbi
Ukimwaga nyuki wanakufata uliemwaga labda unyoe Nywere...Mwaga nyuki mkuu
Ushahidi ninao, unautaka?.Una ushahidi wa haya?
Ujanjajanja upo kote duniani mzeeWewe huna akili, Wala simuonei wivu mtu yoyote hapa Duniani.
Nachotaka Kila Mmoja Kwa Uwezo wake, aache Maisha ya ujanja ujanja ,kuumiza wengine na kunufaika Kwa mgongo wa wengine, kukwepa Kodi, biashara harmu za madawa ya kulevya n.k
Hao ni lazima waishinkipimbipimbi
Hawasogelewi ila hawakwepi kama zamani, enzi hizo anakwambia we sema mzigo wako uletwe wapi....Wameshika hatamu
Customs ndogo [emoji1]
Hawa hata tiaraei sijui kama wanawasogeleaga [emoji1]
Ova
Nenda polisiUshahidi ninao, unautaka?.
Mkuu ni kumuomba sana Mungu kwa kila siku unayopata Pumzi mabalaa yasiyokee aisee Dunia ina mambo ya ajabu sana sana...Mi ikitokea mtu Akala kinyeo simwachii Mungu akyanani nakupitishia hukumu hapa hapa duniani. Iwe Leo au 2030 huko ila hukumu lazima uipate.
Kinyeo changu ni agano langu la uanaume wangu na urijali wangu niliopewa Mungu.
Hata Mungu atanielewa nafikiri.
Nakutanguliza huko huko nitakukuta[emoji1]
Daah mimi nilichelewa nini mkuu mbona kwangu ni kama masaa 67 Net yaliyobaki...Yamebaki masaa 69 na dakika 4
Mtu anasema njia zote zimeshindikana. Sijui hata Kama anaelewa anachosema.sasa mbona unamtishia nyau,,, kama njia zote zimeshindikana kwanini usiweke hicho unachoita uchafu hapa? unafikir salaa atasoma haapa? au unafikiri anatishika na wewe? Wachafu hawachafuki boss
Duh sasa mbona mama yao mweusi ndiiiii [emoji1]Wao wenyewe wanatubagua. Hukuona hapo juu kuna mtu anasema kuna mswahili alikuwa mpenzi wa dada yao. Walipojua wakamteka na kumkodishia mabaunswa wakamlawiti eti kwanini kala utelezi wa dada yao mwarabu?
Masaa hayasogei mwamba [emoji1]Daah mimi nilichelewa nini mkuu mbona kwangu ni kama masaa 67 Net yaliyobaki...
Haha ukiona kimya ujue muamala umesoma [emoji1]Mtu anasema njia zote zimeshindikana. Sijui hata Kama anaelewa anachosema.
Anajidai yeye ni mzalendo wakat amejaa ubinafsi Kwa kiwango kikubwa na ndio maana Uzi huu maslahi ya taifa kayaweka nyuma , katanguliza maslahi yake
na akipewa hiyo mali yake hataanika tena huo uchafu kwa sababu yeye n maslah yake tu anataka eti naye ni mzalendoMtu anasema njia zote zimeshindikana. Sijui hata Kama anaelewa anachosema.
Anajidai yeye ni mzalendo wakat amejaa ubinafsi Kwa kiwango kikubwa na ndio maana Uzi huu maslahi ya taifa kayaweka nyuma , katanguliza maslahi yake
Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.