Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Walivyoishi kipimbi ule utajiri wao ulikuja kwako?
Roho ya umaskini ni mbaya sana.

Siku zote maskini huwa na chuki dhidi ya matajiri.
Wewe huna akili, Wala simuonei wivu mtu yoyote hapa Duniani.

Nachotaka Kila Mmoja Kwa Uwezo wake, aache Maisha ya ujanja ujanja ,kuumiza wengine na kunufaika Kwa mgongo wa wengine, kukwepa Kodi, biashara harmu za madawa ya kulevya n.k

Hao ni lazima waishinkipimbipimbi
 
Wewe huna akili, Wala simuonei wivu mtu yoyote hapa Duniani.

Nachotaka Kila Mmoja Kwa Uwezo wake, aache Maisha ya ujanja ujanja ,kuumiza wengine na kunufaika Kwa mgongo wa wengine, kukwepa Kodi, biashara harmu za madawa ya kulevya n.k

Hao ni lazima waishinkipimbipimbi
Ujanjajanja upo kote duniani mzee

Dunia uwanja wa fujo huu

Ova
 
Mi ikitokea mtu Akala kinyeo simwachii Mungu akyanani nakupitishia hukumu hapa hapa duniani. Iwe Leo au 2030 huko ila hukumu lazima uipate.

Kinyeo changu ni agano langu la uanaume wangu na urijali wangu niliopewa Mungu.

Hata Mungu atanielewa nafikiri.

Nakutanguliza huko huko nitakukuta[emoji1]
Mkuu ni kumuomba sana Mungu kwa kila siku unayopata Pumzi mabalaa yasiyokee aisee Dunia ina mambo ya ajabu sana sana...
 
sasa mbona unamtishia nyau,,, kama njia zote zimeshindikana kwanini usiweke hicho unachoita uchafu hapa? unafikir salaa atasoma haapa? au unafikiri anatishika na wewe? Wachafu hawachafuki boss
Mtu anasema njia zote zimeshindikana. Sijui hata Kama anaelewa anachosema.


Anajidai yeye ni mzalendo wakat amejaa ubinafsi Kwa kiwango kikubwa na ndio maana Uzi huu maslahi ya taifa kayaweka nyuma , katanguliza maslahi yake
 
Mtu anasema njia zote zimeshindikana. Sijui hata Kama anaelewa anachosema.


Anajidai yeye ni mzalendo wakat amejaa ubinafsi Kwa kiwango kikubwa na ndio maana Uzi huu maslahi ya taifa kayaweka nyuma , katanguliza maslahi yake
na akipewa hiyo mali yake hataanika tena huo uchafu kwa sababu yeye n maslah yake tu anataka eti naye ni mzalendo
 
Kwa leo sitaandika mengi.

Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.

Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.

Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.

Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.

Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.

Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.

Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.

Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.

Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.

Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.

Unaamini wanapitaga huku wataona[emoji4][emoji4]
 
Katika Nchi ngumu Maskini kupambana na Tajiri kwenye swala la HAKI basi Tanzania ni mojawapo.

Tanzania imejaa waoga kila mahali,kuanzia wadudu,mpaka wanyama watu..

Mtoa Haki aliewahishwa hii nchi alikua JPM tu ila hamna mwingine hata mmoja anaeweza simamia haki ya mnyonge.

Uzi kama Huu ungefunguliwa Enzi JPM ni Rais, Dk 10 nyingi mtoa mada angeshapgiwa simu na Salaah kuitwa ofisini kuyajenga.

ila kwa Awamu hii na zijazo, Baba Utapiga ramli chonganishi lakini hamna kitu utafanikiwa, Yani kama vile Salaah anakuangalia Halafu anachekaaa...

Muhimu ni kwamba, Usiache kuongea maana huwezi jua Kesho anaweza inuliwa JPM mwingine mkaipata haki yenu.

ila kuipata haki kwa awamu hiii, Baba utasubiri sana We kama unaweza tafuta shortcut yako lipa watu wape Tindikali wakafanye kweli...

Kumpata Salaah ngumu,we geuka hata mtu usiejulikana.. Fanya Yako na team yako.
 
Back
Top Bottom