Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

DUH
 
Umesema vyema kabisa. Haki hivi sasa inapatikana kwa mafisadi kuiba tu. Ila kwa kuwa umetoa ushauri basi nitaufanyia kazi.

Na hapa tunaandika ili kuweka rekodi kwa vizazi vijavyo. Iko siku hili kaburi litafukuliwa tu maana hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho Mkuu. Tuombe uzima.
 
Na wewe unavyojisifiaga wake za watu huoni unaonea wengine. Tena wengine una Hadi wascreen shot na kuwaweka humu. Nawe acha kutembea na wake za watu Tena huko ni hatari kuliko hata kukwepa Kodi za serikali. Huko hakuna tra Wala Mahakama, huko ni kushtakiana kwa miungu na kufanywa uwe kama JamesDelicious.
 
Mwana FA aliimba nyimbo kwenye mistari flani akasema

Vishawishi vingi binti sema na moyo wako na ujifunze pesa zinauza utu wako
tajiri mtata kama  Salaa
🎶
zipo hela sitoi sio bahili me ni balaa🎶 unapenda hela zangu?
na me nazipenda pia🎶
kila mtu abaki na zake, bye baby tutaongea🎶


Inamaana hapo alimtaja salaa huyohuyo
 
hapo huoni nawe kama mtoto wa kiume kutetea maovu ndo mbaya zaidi..au umezoea kuletea nyumbani na wanaume ndo maana unatetea
 
ni kucheza cheza na namba kama mtu mbaya salaah.. ah ah GSM ndo walimwezesha uchaguzi Tanga so lazima wakubwa waimbwe vizuri
 
Nawashangaaga sana wale wanafiki wachache wanaowashobokeaga hawa jamaa 😊😊😊

HAKUNA MNALOLIJUA!... Mleta mada hakukuwa na haja ya saa 72, we andika tu. Hawa ni kenge tu! Lini uliona mwafrika akaishi vizuri kwa kushurutisha watu huko kwenye nchi zao hawa?! Lakini wao wanaishi kama wapo paradiso (MUNGU ANISAMEHE!)

Ila siku yenu/yao inakuja😊

Binafsi ningependa kuweka wazi hata kama chawa wao wapo na wanasoma... wafikishieni huu ujumbe. Maana wamenyonya sana watu, wamedhulumu sana nafsi na haki za watu.

SALAAH NA TIMU YAKO, MNAWEZA KUISHIA KUBAYA SANA! AU KUFA KAMA JFK WA KULE MAREKANI 😊


#nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…