Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

JPM Wako alijaribu akafa yeye.
Jibu lako limeniumiza sana! Inaonesha ni kiasi gani sisi waafrika ni wajinga na wapumbavu.



HAKI YA MUNGU SUBIRI NIBAHATIKE KUWA RAIS MIMI 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kwa maelezo yako inaonyesha huyo ndugu yako alikuwa mwizi!

 
IKO SIKU KISASI CHA JPM KITALIPWA... NA TUTAKUWA NA BARAZA LA MAWAZIRI STRONG KULIKO YOTE KWENYE HISTORIA! TUTAKUWA NA BARAZA STRONG LA TISS AMBALO HALIJAWAHI KUTOKEA NA KILA KITU KITAKUWA SAWA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Nimemaliza kusoma reply na Quotes zote. Nimejua kwamba Tatizo watu wengi awamu zote za uongozi walisahau misingi ya nchi aliyoiweka Baba Na Mwasisi wa Hili Taifa.

Ngoja nitoe mfano very simple. Umeondoka nyumbani kwako kwenda kwenye kazi umemwacha mwanao mdogo kiasi na mfanyakazi. Umemwachia mfanyakazi vyakula maziwa pesa za juice na pesa nyinginezo kwa ajili ya matunzo ya mwanao kwa hiyo siku.

Yule mfanyakazi akaamua kumwacha mtoto hapo kala vyakula na maziwa na kila kitu pamoja na rafiki na washirika wake wa pembeni. Akidai mtoto ni msumbufu kula hatambui umuhimu wa chakula.

Mfano huu ni sawa na nchi hii. Mfanyakazi kuonja chochote si kosa. Ila kumwacha mtt apate malnutrition ndio kosa.

Ubinafsi wa Wwanaohusika na washirika wao ndio unaleta nuksi, na kuwakosesha ukheri. Kama matatizo anuai yanayokumba jamii hususan vijana yangetatuliwa kwa percent kubwa hata wangekula bata namna gan hakuna angejali.

Ubinafsi ukikomaa huzaa uasi. Ninashauri juhudi za haraka na makusudi zichukuliwe. Kuponya na kujenga imani kwa wananchi wa kawaida sana.

Haikuwahi kukusudiwa na haitatokea watanzania Halisi wapate dhiki kuu sababu ya mtu ama kiumbe chochote. Labda iwe ni sababu yao wenyewe.

Kama ni ujinga wao, una mwisho, uoga pia una mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungepunguza muda ikawa masaa 24,tujue yalioyojificha nyuma ya pazia za hawa waarabu,nimesikitoshwa na kile kitendo cha kumlawitisha mtu kisa kitembea na dada yao huo ni unyama uliopitiliza aisee!
Binafsi kuingilia mahusiano au makubaliano ya watu wawili wenye akili timamu huwa ni uzwazwa.

Kwani ni mwarab wa kwanza duniani kuwa na mwanaume mweusi mpaka wamfanyie kitendo hicho?! Wana akili za hovyo sana hawa watu kutoka middle east (waarab na wahindi)

Mwanamke akiolewa anakuwa ni part ya familia nyingine. Wangemuacha na mumewe na wao wabaki na utajiri wao. Kumsaidia ndugu yao (dada yao) ni hiyari, wangetaka hata wasingemsaidia vilevile lakn yuko na furaha yake ya ndoa na mtu ampendaye.
 
Kiapo changu ni kile kile nitakuwa na mtanzania mwenzangu dhidi ya raia mwingine yoyote WA taifa lolote.


Natamani Sana huu msimamo tungekuwa nao watanzania wote. South Africa huwezi kukuta mwarabu au mchina au muhindi anajitapa mbele ya msouth Africa. Kule raia WA South Africa ndio WA Kwanza Kwa kila kitu.

Hapa tanzania unakuta jitu jeusi linamtetea Ghalib au Dewij wakati anaonea weusi wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…