kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
yap imeshapita siku moja ambayo ni masaa 24 so kwenye 72-24 unabaki na 48.Bado masaa 42?
kumbuka post ilipostiwa saa 5 dkk 52. so kwenye masaa 48 ilisoma tangu saa 5 asubuhi. now ni saa 12 jioni so yameongezeka masaa 7. ila kwavile dakika 52 haijatimia bado, so yatakuwa masaa 6 na dakika zake. so 48-6 inabaki 42.