Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

yap imeshapita siku moja ambayo ni masaa 24 so kwenye 72-24 unabaki na 48.
kumbuka post ilipostiwa saa 5 dkk 52. so kwenye masaa 48 ilisoma tangu saa 5 asubuhi. now ni saa 12 jioni so yameongezeka masaa 7. ila kwavile dakika 52 haijatimia bado, so yatakuwa masaa 6 na dakika zake. so 48-6 inabaki 42.
Mwache akanyage twende, maisha yenyewe upuuzi tu.
 
yap imeshapita siku moja ambayo ni masaa 24 so kwenye 72-24 unabaki na 48.
kumbuka post ilipostiwa saa 5 dkk 52. so kwenye masaa 48 ilisoma tangu saa 5 asubuhi. now ni saa 12 jioni so yameongezeka masaa 7. ila kwavile dakika 52 haijatimia bado, so yatakuwa masaa 6 na dakika zake. so 48-6 inabaki 42.
Sawa mkuu kumbe kapost jana
 
Wana majeshi ya majini makata
Hao usiwajaribu aisee hata huyu Mleta huu uzi akileta hiyo ripoti yake na Salaah Said Mohammed akachukuliwa hatua aisee maisha yake yatakuwa matatani sana. Hawa Jamaa baada ya yule Kaka yao Mkubwa kumwagiwa tindikali aliporudi kwenye matibabu majini yalitumwa kumtafuta yule aliyewatuma wale Vijana wakamwagia tindikali pale Msasani GSM Mall yule aliyewatuma wale Vijana alikuwa ni Muarabu inasemekana alikufa kwenye ajali ya gari yake aina ya Prado Yeye, Watoto watatu na Mke wake
 
Au nawe ni mmoja wao nini? Mbona unaogopa ogopa sana?!
 
Hao usiwajaribu aisee hata huyu Mleta huu uzi akileta hiyo ripoti yake na Salaah Said Mohammed akachukuliwa hatua aisee maisha yake yatakuwa matatani sana. Hawa Jamaa baada ya yule Kaka yao Mkubwa kumwagiwa tindikali aliporudi kwenye matibabu majini yalitumwa kumtafuta yule aliyewatuma wale Vijana wakamwagia tindikali pale Msasani GSM Mall yule aliyewatuma wale Vijana alikuwa ni Muarabu inasemekana alikufa kwenye ajali ya gari yake aina ya Prado Yeye, Watoto watatu na Mke wake
Kwamba TISS walitumwa watekeleze? Maana JK alienda hadi South Afrika
 
Back
Top Bottom