Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Mwache akanyage twende, maisha yenyewe upuuzi tu.
 
Sawa mkuu kumbe kapost jana
 
Wana majeshi ya majini makata
Hao usiwajaribu aisee hata huyu Mleta huu uzi akileta hiyo ripoti yake na Salaah Said Mohammed akachukuliwa hatua aisee maisha yake yatakuwa matatani sana. Hawa Jamaa baada ya yule Kaka yao Mkubwa kumwagiwa tindikali aliporudi kwenye matibabu majini yalitumwa kumtafuta yule aliyewatuma wale Vijana wakamwagia tindikali pale Msasani GSM Mall yule aliyewatuma wale Vijana alikuwa ni Muarabu inasemekana alikufa kwenye ajali ya gari yake aina ya Prado Yeye, Watoto watatu na Mke wake
 
Au nawe ni mmoja wao nini? Mbona unaogopa ogopa sana?!
 
Kwamba TISS walitumwa watekeleze? Maana JK alienda hadi South Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…