Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Ile ghorofa sasa imechakaa imekuwa ni jumba la kufugia majini yao, kuna Dada alikuwa anaishi mule cha moto alikiona kila siku alikuwa anafumuliwa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tupe habari kamili kuhusu majink wa hawa jamaa ndugu
 
Nimefika hapa,nasubiri Muda wa saa 72 utimie makombora yaanze kuvumishwa kuelekea kwa adui.

Mtoa mada nakuunga mkono,dhuluma haikubaliki,kama unasema kweli basi tunasubiri huo ushahidi.

Kama kuna Chawa wa GSM humu watulie muda ufike kwanza,hizi bado ni tuhuma tuwe wavumilivu muda ufike.
 
Dawa ni kumtafutia jeshi la majini yenye nguvu zaidi kuzidi jeshi la majini alilonalo, dawa ya jini ni jini tu na tuendelee kuyapiganisha majini huko majini yaliko majini na usinitupie jini, mleta uzi mda umekwisha mwaga uozo huo tuusome basi mbon unatuweka sana hivi au unaogopa kutupiwa majini na wewe?
 
Toba, Toba, Toba! hiyo ndio shida ya waarabu na hayo madude
 
Naona unasubiria jambo lishushwe
[emoji1]

Ova

😅😅😅
Ndio mazoea yangu kusoma na kupita., kama hawa sihusiki nao maishani mwangu hivyo ni kupata udaku tu wa wananchi wengine hapa nchini.

Ila interest yangu kubwa kwenye uzi huu ni mleta mada na yake aliyosema,
je atatenda 🤣🤣🤣💃🏽💃🏽💃🏽
 
Ukiona panya anachezacheza au kupitapita sebuleni jua tundu lipo karibu na ni njia kuelekea Tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…