Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Duh

Ova
 
 
Ila hawa jamaa mbona wanaonekana waungwana sana? Unaweza kusoma comment ukabakia mdomo wazi. Mfano Gharib, anaonekana mpole na asiye na makuu.



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mimi ki ukweli nimemjua salaah hivi karibu pia nipo kwenye magroup Yao ya biashara...jamaa ni muungwana sana...Hana maneno mengi ..hapa ninastaajabu Kwa kweli....
 
Mimi ki ukweli nimemjua salaah hivi karibu pia nipo kwenye magroup Yao ya biashara...jamaa ni muungwana sana...Hana maneno mengi ..hapa ninastaajabu Kwa kweli....
Mwambie arudishe chenji, 235mil. #chenjiirudi

 
Sina ukaribu nae kaka,ila kumuona Kwa macho nishamuona mara kadhaa....ni muungwana sana...
Haya yanayoandikwa hapa na nyuzinaa nyuma zinazo kua attached za nyuma Kwa kweli Mimi sikuwahi kufatilia huo upande...
So Nina staajabu TU kama watu wengine hapa.
Ila Bado naamini hakuna mfanya biashara anataka hasara...
Labda njia aliyotumia TU ...na kama asingetumia hiyo njia huyo jamaa WA eliudi asingesema kama aliiba..
By the way wabongo sisi sio waaminifu nimeshangaa kwanza kwanini alimuamini na kias kikubwa Cha ela hivyo
 
Moderate wameufunga huo uzi...

Huyo jamaa wa yemen amewahi peleka hio habari yake mpaka sitasahau RFA,

Alielezea kila kitu kwa urefu,mpaka anarudi Tz ,
Mpaka misikiti ilimtenga...

Alichokua anaomba hata kama alipwi arejeshewe vifaa vyake(machines)vya ujenzi...

Ki ukweli naikumbuka hii stori kwa uchache,alipitia mengi magumu..sijui hata kama bado yuko hai mpaka sasa.
 
Mods wa JF wako double standard sana.

Hao jamaa malalamiko dhidi yao hayataishia Leo watakuja wengine wengi.

Jamaa ni maharamia
 
Hawa makatili inawezekana washamuua

 
Habari,naombeni kufaham mfanyabiashara km huyu kukaa na dola nyingi Nyumbani au ofisini kwake badala ya bank! Anayumbishaje uchumi wa inchi???na anatakatisha vp??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…