Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Tunazungumzia Billionaire rank according to Forbes usiwe unakrupukaUnaponda biashara ya mtu mwingine wakati mwenyewe ndio inamuingizia pesa ambayo unaweza maisha yako yote usiipate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazungumzia Billionaire rank according to Forbes usiwe unakrupukaUnaponda biashara ya mtu mwingine wakati mwenyewe ndio inamuingizia pesa ambayo unaweza maisha yako yote usiipate.
DuhYes alishiriki nikiwa tazara na kijana wangu anae niendesha niliwasiliana na DC.nyangasa,baada kupata tuhuma za mauaji kutoka Kwa ocd. walelo kupitia Simu aliyonipigia milango ya saa Moja usiku nikamwambia ocd.walelo mbona unanipigia kunituhumu na jambo la mauaji na wala siko kigamboni muda huu na nikamwambia ocd unadhani ungefanya kazi Yako tokea saa 12 alfajiri nilivyokupigia kukuomba msaada kwamba eneo langu limetekwa na wafanyakazi wangu wote wako chini ya ulinzi sijui usalama wao ungefika kutoa msaada unadhani yangetokea haya ambayo unanituhumu akakata Simu ocd.
Nilimtuma kaka yangu na manager wangu tokea saa mbili asubuhi wafike Kwa ocd kigamboni mpaka takriban saa nñe wakajibiwa polisi kigamboni na ocd hawawezi kutoa msaada mpaka order kutoka juu.
Kipindi hiko Cha asubuhi Mimi nikiwa central polisi nikitafuta msaada Kwa muliro ambae sikumpata lakini siku kumi kabla ya tukio nilimuandikia muliro barua ya kumjulisha kuwa Kuna njama ambayo imepangwa kufanya uvamizi katika eneo langu.
Nilikutana na GSM ofisini kwake salamander kabla ya tukio siku kaka saba akaniambia unataka nikupe mil 100 ikusaidie maishani mwako mahakamani nimekushinda na ukienda appeal kesi nitaitisha ndani ya miezi 6 mpaka 8 itahukumiwa nitakushinda tena mahakama yote inakunywa chai salamander.
Kiufupi sitoandika tena lakini wajipange soon tutalipa na mh.rais mitandaoni na tumejipanga vyema.
Na vyombo vya habari vyote vitakavyo kataa kurusha tutavianika.
Hivi wanajua struggle ya miaka halali kutengeneza uchumi na biashara yenye value takriban 10 bilion alafu anakuja jizi kama GSM linatamani na kukurudisha back to square one
Forbes Ranking ndio haitambui utajiri unaotokana na kuuza unga wa mahindi!?Tunazungumzia Billionaire rank according to Forbes usiwe unakrupuka
Mimi ki ukweli nimemjua salaah hivi karibu pia nipo kwenye magroup Yao ya biashara...jamaa ni muungwana sana...Hana maneno mengi ..hapa ninastaajabu Kwa kweli....Ila hawa jamaa mbona wanaonekana waungwana sana? Unaweza kusoma comment ukabakia mdomo wazi. Mfano Gharib, anaonekana mpole na asiye na makuu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mimi ki ukweli nimemjua salaah hivi karibu pia nipo kwenye magroup Yao ya biashara...jamaa ni muungwana sana...Hana maneno mengi ..hapa ninastaajabu Kwa kweli....
Mwambie arudishe chenji, 235mil. #chenjiirudiMimi ki ukweli nimemjua salaah hivi karibu pia nipo kwenye magroup Yao ya biashara...jamaa ni muungwana sana...Hana maneno mengi ..hapa ninastaajabu Kwa kweli....
Sasa sisi tunaofanya nap biashara tufanyaje?Ni mbwamwitu hao
Sina ukaribu nae kaka,ila kumuona Kwa macho nishamuona mara kadhaa....ni muungwana sana...Mwambie arudishe chenji, 235mil. #chenjiirudi
Kashfa nzito Jeshi la Polisi
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili. Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi...www.jamiiforums.com
huujui upande wake wapili wa shilingiMimi ki ukweli nimemjua salaah hivi karibu pia nipo kwenye magroup Yao ya biashara...jamaa ni muungwana sana...Hana maneno mengi ..hapa ninastaajabu Kwa kweli....
Kuna tofauti ya kujua na kufahamu[emoji1787]Mimi ki ukweli nimemjua salaah hivi karibu pia nipo kwenye magroup Yao ya biashara...jamaa ni muungwana sana...Hana maneno mengi ..hapa ninastaajabu Kwa kweli....
Moderate wameufunga huo uzi...Mwambie arudishe chenji, 235mil. #chenjiirudi
Kashfa nzito Jeshi la Polisi
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili. Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi...www.jamiiforums.com
Namuonaga hahaha simjuiKuna tofauti ya kujua na kufahamu[emoji1787]
Moja wapo Iko deep
Na sitaki kuujua Kwa kweli
Mods wa JF wako double standard sana.Moderate wameufunga huo uzi...
Huyo jamaa wa yemen amewahi peleka hio habari yake mpaka sitasahau RFA,
Alielezea kila kitu kwa urefu,mpaka anarudi Tz ,
Mpaka misikiti ilimtenga...
Alichokua anaomba hata kama alipwi arejeshewe vifaa vyake(machines)vya ujenzi...
Ki ukweli naikumbuka hii stori kwa uchache,alipitia mengi magumu..sijui hata kama bado yuko hai mpaka sasa.
Hawa makatili inawezekana washamuuaModerate wameufunga huo uzi...
Huyo jamaa wa yemen amewahi peleka hio habari yake mpaka sitasahau RFA,
Alielezea kila kitu kwa urefu,mpaka anarudi Tz ,
Mpaka misikiti ilimtenga...
Alichokua anaomba hata kama alipwi arejeshewe vifaa vyake(machines)vya ujenzi...
Ki ukweli naikumbuka hii stori kwa uchache,alipitia mengi magumu..sijui hata kama bado yuko hai mpaka sasa.
Sasa sisi tunaofanya nap biashara tufanyaje?
Kwa ushauri wangu, wafungue upande wa comments, kuna mengi tutayajua.Mods wa JF wako double standard sana.
Hao jamaa malalamiko dhidi yao hayataishia Leo watakuja wengine wengi.
Jamaa ni maharamia