kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Hilo ndio tatizo kuu mkuu ila wabongo hawataki kusikia hivyo. Hawa matajir unaowaona wote kilichowasaidia ni trust bro. Huwez kuwa na hela ya kutosheleza mahtaji yote ya wateja ndio unakuta kiwanda kinakupa mali kauli. Hawa wachina wote wenye biashara wanauza biashara za viwanda sio hela zao. Sasa kuna wajinga wajinga kama huyu jamaa wakiaminiwa wanaharibu. Wakifuatiliwa kama huyu jamaa wanakuja na mikwara. Muda wote walipofanya ujinga wao pamoja hakutuambia ila sasa alipogeuka ndio anamtisha mwenzie. Mzee hela za mwanaume hailiwi kirahisi.Nimekuelewa hapo. Uaminifu ni tatizo kubwa kwa WaTZ wengi sana.