Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Nimekuelewa hapo. Uaminifu ni tatizo kubwa kwa WaTZ wengi sana.
Hilo ndio tatizo kuu mkuu ila wabongo hawataki kusikia hivyo. Hawa matajir unaowaona wote kilichowasaidia ni trust bro. Huwez kuwa na hela ya kutosheleza mahtaji yote ya wateja ndio unakuta kiwanda kinakupa mali kauli. Hawa wachina wote wenye biashara wanauza biashara za viwanda sio hela zao. Sasa kuna wajinga wajinga kama huyu jamaa wakiaminiwa wanaharibu. Wakifuatiliwa kama huyu jamaa wanakuja na mikwara. Muda wote walipofanya ujinga wao pamoja hakutuambia ila sasa alipogeuka ndio anamtisha mwenzie. Mzee hela za mwanaume hailiwi kirahisi.
 
Waarabu wakatili kweli Tena washenzi kuliko wahindi sema TU wanavuma wahindi
Vipi kuhusu kuwakata viungo Albino wakiwa hai,huo sio ushenzi na sio ukatili?

Vipi kuhusu kuua vikongwe kwa imani za kishirikina,huo sio ukatili na ushenzi?

Vipi kuhusu kuwachoma moto tena wakiwa hai wanaotuhumiwa kua ni vibaka,huo sio ukatili na ushenzi?
 
Hilo ndio tatizo kuu mkuu ila wabongo hawataki kusikia hivyo. Hawa matajir unaowaona wote kilichowasaidia ni trust bro. Huwez kuwa na hela ya kutosheleza mahtaji yote ya wateja ndio unakuta kiwanda kinakupa mali kauli. Hawa wachina wote wenye biashara wanauza biashara za viwanda sio hela zao. Sasa kuna wajinga wajinga kama huyu jamaa wakiaminiwa wanaharibu. Wakifuatiliwa kama huyu jamaa wanakuja na mikwara. Muda wote walipofanya ujinga wao pamoja hakutuambia ila sasa alipogeuka ndio anamtisha mwenzie. Mzee hela za mwanaume hailiwi kirahisi.
Tuna haja ya kubadilika WATZ aisee. Watu wana attack maisha binafsi ya watu
 
Binafsi kuingilia mahusiano au makubaliano ya watu wawili wenye akili timamu huwa ni uzwazwa.

Kwani ni mwarab wa kwanza duniani kuwa na mwanaume mweusi mpaka wamfanyie kitendo hicho?! Wana akili za hovyo sana hawa watu kutoka middle east (waarab na wahindi)

Mwanamke akiolewa anakuwa ni part ya familia nyingine. Wangemuacha na mumewe na wao wabaki na utajiri wao. Kumsaidia ndugu yao (dada yao) ni hiyari, wangetaka hata wasingemsaidia vilevile lakn yuko na furaha yake ya ndoa na mtu ampendaye.
Waarabu ,wahindi wanapenda kutugongea dada zetu,sasa wakigongewa wao sasa [emoji1]
Hapo shuguli ndiyo inaanza

Ova
 
Ndugu zangu huyu Kijana anaye mshambulia boss anaitwa Eliud. Story yake inafahamika na Wafanyabiashara wengi hapa Kariakoo na yeye Boss Mwenyewe alikuwa muathirika wa Pesa alizochukua huyu Kijana.

Ni Mwaka Jana tu ELIUD Aliaminiwa Kukusanya pesa Kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo ambapo alileta habari ya kupotea Kwa Pesa hizi zaidi ya Bilioni 6 na mpaka Leo hapaja patikana muafaka kutoka Kwake Jinsi ya kulipa Pesa hizo.

Kitendo anachofanya ni kumvunjia Heshima Mitandaoni Mtu ambae sisi tumefanya nae kazi Kwa UADILIFU na UAMINIFU Kwa muda mrefu wa zaidi ya Miaka 19 Sasa mbali na kipindi Hiki Kigumu Cha CORONA tulichopitia.

Nadhani mlie karibu nae Kwa Sasa tumshauri huyu dogo aende kwenye MAMLAKA ZA SERIKALI Ili kujenga hoja ya anachomdai badala ya kuchafuana kwenye Mitandao ambapo Inaweza kumgharimu iwapo Muhusika anayemchafua nae akifuata mkondo wa sheria.

Nchi yetu Hii inaendeshwa na Sheria. Vyema akajifunza kupata haki yake Kwa kutumia Njia sahihi kuliko kumchafua Mtu.
NImeitoa Mahali hebu tupe mrejesho wa hili kwanza mkuu. Maana imebid nimtafute Sallaah kwanza.
Haya sasa
 
Bro mswahili ana habar gani mpya. Mi wala simzuii kumwaga mboga kwake Chief. Ila nimewasilisha hiyo sms kutoka kwa jukwaa flan kkoo. Ila ninachojua hata mtu mbaya vipi hawez kukufanyia ubaya kama hakuna kitu kati yenu kimetokea. Ngoja amwage tusubir na upande wa pili utajibuje.
We kumbe mshafikishia taarifa kweli jf nooomaaa
 
Back
Top Bottom