Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 619
yule aloimba Nai nai asikusikie ........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inammeza mzima mzima inapasuka yenyewee IleDuu. Ardhi inammeza mzimamzima? Utajiri wa hivyo hapana maana hukawii kumfanya mwanao zezeta.
Hajafika tu au bado mkuu [emoji1]Uzi wako umeandika kibabe sana lakini masaa 72 yamepita na wewe umekimbia.
Hesabu ulipata alama gani?Uzi wako umeandika kibabe sana lakini masaa 72 yamepita na wewe umekimbia.
Ujinga ujinga tu.Wameingia vitani kumpambania boss wao[emoji1]
Mbona kama unawatetea hawa watu boss? Kulikoni?Sijui skendo gani mpya italetwa
Maana hawa kama viunzi washaruka sana,kama mistake washakwepa sana [emoji1]
Ova
Huenda ni yeye mwenyewe.Mbona kama unawatetea hawa watu boss? Kulikoni?
Hawatetei ila hao mafia wanajulikana vzr sanaMbona kama unawatetea hawa watu boss? Kulikoni?
Wala siwatetei mkuuMbona kama unawatetea hawa watu boss? Kulikoni?
Wapi bana,mm nakutakia kila la heriHuenda ni yeye mwenyewe.
😂😂😂 labda ni mmoja wa wale machawa wao... kuna yule mropokaji anaefanya kazi mawingu fm a.k.a anaejiita DC wa mtandao flani wa kijamii maarufu au yule nyampua anaetangaza wachafu fm rafiki mkubwa na mtani wa balozi wa puto😂😂😂😂 si ndio wanajifanya mabalozi wao. .......Wewe umejuaje kama Salaa haingii huku kusoma?
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] labda ni mmoja wa wale machawa wao... kuna yule mropokaji anaefanya kazi mawingu fm a.k.a anaejiita DC wa mtandao flani wa kijamii maarifa au yule nyampua anaetangaza wachafu fm rafiki mkubwa na mtani wa balozi wa puto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndio wanajifanya mabalozi wao. .......
😂😂😂😂 sasa nao wanakua machawa hadi kwenye anonymous huku watupishe ndo kwamba wanatekeleza kiapo cha uaminifu😂😂Hahaha
Jamaa wana machawa 200 kdg [emoji1]
Ova
Hata hii Mama atakuwa ameisoma na kupewa sasa naye ana hamu na kilichobaki maana hata yeye sidhani kama anapenda huu ujinga ni vile mzee wa mgaso anamzongazonga sana.Mkuu maliza kila kitu page ya kwanza hapo. Mheshimiwa Rais anapitia pitia nyuzi za jamii forums.
Mkuu we mwaga kila kitu.Hata hii Mama atakuwa ameisoma na kupewa sasa naye ana hamu na kilichobaki maana hata yeye sidhani kama anapenda huu ujinga ni vile mzee wa mgaso anamzongazonga sana.
Sawa Mkuu. Nafurahi watu wengi wamesoma hii habari. Zaidi ya 24000.Mkuu we mwaga kila kitu.
Hahhahahhaha. Sitawafikisha huko ndugu zangu. Yaani kiufupi mzigo uko tayari. Ni kuuweka hewani tu basikwa hii arosto waliyonayo nayo wananzengo ,sipati picha mleta Uzi atakavyoporomoshewa makombora ya matusi baada ya masaa 72 kupita halafu iwe bila bila