Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masaa 43 kamili to GoBado masaa mangapi wadau?
Kula mke wa mtu kwa ufahamu wako sio dhuluma?Tindikali tuliambiwa alikula mke wa mtu,Leo mnasema dhulma
Hahhahahhaha. Sitawafikisha huko ndugu zangu. Yaani kiufupi mzigo uko tayari. Ni kuuweka hewani tu basi
Naona unasubiria jambo lishushweUweke tu kila au kila utakapo andika hawatakuacha.. na uhesabu masaa bila kukosea [emoji28][emoji28][emoji28]
Uweke kama update post #1
**** moja naona alimwagiwa tindikali hata Hawa ai inawezekana? Nadhani watanzania tuliangalie hili.JPM aliwafanya Hawa Matajiri janjajanja, Kuishi kama Mashetani.
Ila sahizi Mashetani ndio waongoza Nchi, ni haki Yao kusema "Serikali hii haiwafanyi kitu'.
Wapo sahihi Mkuu, hakuna wa kuwafanyia kitu sasa
Mama Leo umeonakana mwenye Uzi baada ya hotuba yako Kyle BAWACHANa huyo kijana siyo wewe?
Haiingii akilini.
Wanarogeka kwani hao?Kwa Nini msiwaroge ili adabu iwaingie hao waarabu Koko?
DuuhYule aliyetoa masaa kwa hakimu ni kiboko, siku tatu na matanga tumeyaona.
naona watu wa kariakoo na machawa wa familia ya gsm mmeitana kumtetea mwarabu.Na huyo kijana siyo wewe?
Haiingii akilini.
Duuuhacha ujinga na umbea huyo Salome mgaya hana tako kama unavyohisi ni mnene aliepigwa pasi. mtu hujawahi kumwona unasemaje ana msambwanda
Ile ghorofa sasa imechakaa imekuwa ni jumba la kufugia majini yao, kuna Dada alikuwa anaishi mule cha moto alikiona kila siku alikuwa anafumuliwa 🤣 🤣 🤣 🤣Ni mwili wa home shopping centre ulioamua kuvaa ngozi mpya ya GSM. Nilishuhudia ukiukaji mkubwa Sana wa kodi mwaka 2013 wakiwa Home Shopping Centre Duka lao moja Kariakoo. Pumzika kwa Amani Pombe Magufuli
...Toka June Mwaka Mpaka Leo March ni Miezi NANE! Bado unawatishia Nyau ya Masaa 72, wakati wamekaa Miezi NANE na HAKI ya Mtu ?Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
Sasa kama serikali iko mfukoni huoni kama unajisumbua kuanzisha thread ambayo haitasaidia lolote?Ni kweli, tena anampigia simu anamwambia kama unarekodi rekodi na upelekea unapotaka hivi sasa serikali iko mfukoni kwetu.
....Una Masaa 72 kumbuka !....yote nitaanika, pia sio ndugu yangu, ni suala la muda yote tutaweka hapa kwa uwazi, na nakala tutampelekea Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, records lazima ziwepo.
na G63 AMG yake kwa road.. jamaa kaanzisha bifu zito sana , sie zetu dua tu jamaa wasimkamateMtu kama huyu ndio umtishie nyau na ana mikwasa mitatu kiunoni😀😀😀