Salamu kwa Tutu zinapowaamsha watema Nyongo

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Shujaa mpenda haki ametutoka.

Tributes kwa maisha yaliyopotea zinapoendelea kumiminika tuna mengi ya kujifunza.

Hizi hapa ni za Mh. Samia:

IMG_20211227_120543_110.jpg

Salamu hizi zimewaamsha watema nyongo kwa misingi hii hii:

IMG_20211227_112550_315.jpg

Tofauti kabisa na salamu za wengine.

Sisi tunakwama wapi? Ni kweli hatupajui?

IMG_20211227_112827_022.jpg

IMG_20211227_112632_748.jpg

IMG_20211227_112728_989.jpg

IMG_20211227_112702_467.jpg

IMG_20211227_112757_077.jpg
 
Ikulu yetu hawajui the late Tutu official title yake ni Archbishop or more precisely Archbishop Emeritus na sio just Bishop? Kila siku tunatamka Askofu Mkuu Desmond Tutu haieleweki? Diplomasia yetu inayumba sometimes ... u-Bishop aliuacha miaka mingi sana. Mama amepotoshwa tena ...
 
Wana mengi ya kuficha. Ngoja watape tape kwanza.
 
Ikulu yetu hawajui the late Tutu official title yake ni Archbishop or more precisely Archbishop Emeritus na sio just Bishop? Kila siku tunatamka Askofu Mkuu Desmond Tutu haieleweki? Diplomasia yetu inayumba sometimes ... u-Bishop aliuacha miaka mingi sana. Mama amepotoshwa tena ...
Ni kweli mkuu,wasaidizi wa our President always wanafanya stupid mistakes mara kwa mara,ni Archbishop Desmond Mpilo Tutu sio Bishop!!
 
Ikulu yetu hawajui the late Tutu official title yake ni Archbishop or more precisely Archbishop Emeritus na sio just Bishop? Kila siku tunatamka Askofu Mkuu Desmond Tutu haieleweki? Diplomasia yetu inayumba sometimes ... u-Bishop aliuacha miaka mingi sana. Mama amepotoshwa tena ...
Awe Archbishop Emeritus au Archbishop au Bishop everything is irrelevant anapokuwa nyama ya udongo. Hizo titles sawa na utajiri zinabaki hazina maana kwa kuwa wanadamu wote uhai ukishatoka kinachobaki ni cheo kimoja; marehemu au maiti.

Wakosoaji wa SAMIA mtaumiza sana vichwa kutafuta dosari, ila Mama anaupiga mwingi japo hamumkubali mdomoni lakini rohoni mnamkubali
 
I'm deeply touched by the death of a true AFRICA's hero who never shut his mouth down against oppressions in Africa. Sending my utmost condolences to the people of S. Africa and may his soul rest in peace
 
Wakosoaji? Kwa mwendo huu? Mtamlaumu sana dobi. Yetu macho:

IMG_20211227_141753_195.jpg

IMG_20211227_141816_833.jpg

IMG_20211227_141840_925.jpg

IMG_20211227_141920_709.jpg
 
Kwa wakosoaji waliojitoa akili lazima waandike hivyo. Hata kama Rais SSH asingetuma salamu za rambirambi kwa kifo cha ArchBishop Desmond Tutu wangelimsema tu.

Mytake:
Rais anapiga kazi sana na matunda yanaonekana, wapinzani hawana vitu vya kujielekeza ndiyo maana wamejikita kwenye TRIVIALITIES. GO GO Samia

Hata Zuma na wapambe wake walidhani wanapiga kazi:

IMG_20211227_112550_315.jpg

Tributes na makasiriko yanaonyesha wapi mzani unalalia.
 
Back
Top Bottom