THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Dikiteta magufuli haya aliyoongea wala alikuwa hayaishi walau hata kwa asilimia 10. Ni kweli tutamkumbuka si kwa mazuri yake tu Bali hata kwa mabaya yake pia.
Macho huona kile yanachochagua kuona.Mama yetu ameanza vibaya. Namfuatilia sana. Kabeba sana Uislam na Uzanzibar. Sijui kama tutafika.
Mama yetu ameanza vibaya. Namfuatilia sana. Kabeba sana Uislam na Uzanzibar. Sijui kama tutafika.
Wajinga ni wengi sana hapa Tanzania. Yaani jitu zima linaanzisha mada kuwa As-Salaam Alyakum ni salamu ya kiislamu alafu linajiona Lina akili kinyama. Kumbe limejilisha tango Pori
We ni mshamba tu.Ni kweli maani hii siyo nchi ya wapagani
AminaMwache mwendazake aende zakeee,
Shalooom na jina la bwana lihimidiweee...
Salaam hiyo hutumiwa na waarabu,nenda google salaam hata zinazotumiwa na christian arabs ni hiyo hiyo,unashindwa nin kugoogle hapo ukajifunza?au bundle lako ww unatumia JF na Facebook tuh,google hapo chap update elimu,Tumia kichwa kufikiri, kwani nikina nani utumia hiyo salam?.
Hata ukisema inamaana kwa kiarabu, sisi niwarabu?.
Na tunaoamini mizimu atusalimie vipi?Siungi mkono hoja!
Mh Rais tumia Salamu za imani zilizopo usiogope kusema kuwasalimu watanzania kwa imani zao wala sio ushamba ni jambo jema!
Hii naomba urekebishe sio nzuri wala haipendezi!
“CCM mbele kwa mbele”
Umeelewa nilichokiandika?Salaam aleykum,maana yake ni Aman ya bwana mungu muumba iwe nanyi,
Tofaut hapo ni hiyo lugha iliyotumika tuh,nadhan ingetumika lugha ya kiswahili au kiingereza isingeleta shida hapo...
We ni mshamba tu.
Halafu nyie mnaosalimiwa mnaitikiaje?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru...
Umesahau kuwa serikali haina Dini?Anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. Hili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
Umeelewa nilichokiandika?
Ukisema Amani ya bwana Mungu muumba iwe nanyi unawatenga wasioamini Uwepo wa Mungu ambao nao ni watanzania walipa kodi pia. Hata katiba hailitaji taifa hili kuwa lina dini. (Pia rejea hotuba ya Nyerere ya mwaka 1995, kuanzia dakika ya 19). Hivyo salamu ya 'Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania' inawaunganisha watu wote.
Soma waebrania 10:26-28,then tubu,Amini Neno hili hutarudia tena uzinzi wakomara nyingi tu ila kwa bahati mbaya, natamani kuacha lakini nashindwa
SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
Ni wapi ni, nimesema Asalam aleykum ni salamu ya kidini? Ndiyo kuna watu wanamini hivyo lakini ni kwa sababu ya kukosa uelewa tu.Mseme hivyo sasa mtaeleweka,sasa mkisema kama kwa salaam hiyo analeta udini,Mara ooh anaupendelea uislam hamuwez kueleweka,na pia kwann HOJA hii kipind Cha Magufuli hamkuleta mnaileta leo??
Just one month ago Magufuli alitumia salaam kama hii,hatukusikia mkihoj,why mnahoji sasa??
Mmeona mlivyo na shida nyiny
Anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. Hili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
Ni kweli maani hii siyo nchi ya wapagani