Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

Dikiteta magufuli haya aliyoongea wala alikuwa hayaishi walau hata kwa asilimia 10. Ni kweli tutamkumbuka si kwa mazuri yake tu Bali hata kwa mabaya yake pia.

Mwache mwendazake aende zakeee,

Shalooom na jina la bwana lihimidiweee...
 
Mama yetu ameanza vibaya. Namfuatilia sana. Kabeba sana Uislam na Uzanzibar. Sijui kama tutafika.

Tutafika tuh,mbona mwendazake aliubeba Sana ukristo na usukuma na tulikuwa tunaenda?
Kama mmeamua kujitoa ufaham jitoen ufaham,ameanza vibaya na hata week mbili hajamaliza kama siyo choko choko ni nin,basi Kama inauma mwambien Gwajima akamrudishe tatizo liko wapi mkuu,mbona jambo simple tuh hilo kwa Gwajima,unauumiiaa hali ya kuwa uwezo wa kumrudisha mnao Mkuu,

Go Bring Him Back To Life Mkuu...

Hutak basi vumilia,kila zama na kitabu chake,Tulia sindano iingie na ukicheza tuh itakatikia hiyo,ooooh.
 
Wajinga ni wengi sana hapa Tanzania. Yaani jitu zima linaanzisha mada kuwa As-Salaam Alyakum ni salamu ya kiislamu alafu linajiona Lina akili kinyama. Kumbe limejilisha tango Pori

Tumia kichwa kufikiri, kwani nikina nani utumia hiyo salam?.

Hata ukisema inamaana kwa kiarabu, sisi niwarabu?.
 
Tumia kichwa kufikiri, kwani nikina nani utumia hiyo salam?.

Hata ukisema inamaana kwa kiarabu, sisi niwarabu?.
Salaam hiyo hutumiwa na waarabu,nenda google salaam hata zinazotumiwa na christian arabs ni hiyo hiyo,unashindwa nin kugoogle hapo ukajifunza?au bundle lako ww unatumia JF na Facebook tuh,google hapo chap update elimu,

Waislam tunatumia hiyo coz our prophet origin yake ni muarabu,sasa mtu kuwa muarabu haimaanish kuwa ni muislam,infact kuna waarabu wengi tuh ambao ni christians,mbona huelewi??
 
Siungi mkono hoja!

Mh Rais tumia Salamu za imani zilizopo usiogope kusema kuwasalimu watanzania kwa imani zao wala sio ushamba ni jambo jema!

Hii naomba urekebishe sio nzuri wala haipendezi!

“CCM mbele kwa mbele”
Na tunaoamini mizimu atusalimie vipi?
Na rastafarians je? Tunajifanya tunajali sana kutaja neno "Mungu" kumbe ni malofa wa kutimiza matendo yaliyoagizwa na Mungu.
 
Salaam aleykum,maana yake ni Aman ya bwana mungu muumba iwe nanyi,

Tofaut hapo ni hiyo lugha iliyotumika tuh,nadhan ingetumika lugha ya kiswahili au kiingereza isingeleta shida hapo...
Umeelewa nilichokiandika?

Ukisema Amani ya bwana Mungu muumba iwe nanyi unawatenga wasioamini Uwepo wa Mungu ambao nao ni watanzania walipa kodi pia. Hata katiba hailitaji taifa hili kuwa lina dini.

(Pia rejea hotuba ya Nyerere ya mwaka 1995, kuanzia dakika ya 19). Hivyo salamu ya 'Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania' inawaunganisha watu wote.
 
We ni mshamba tu.

Anatuletea habar zake za kisukuma hapa,waende zao wakachunge mbuzi huko..!

Ushamba ushamba na roho mbaya tuh,that's why nchi iliwashinda kuongoza hii,

Wakae pembeni,wajifunze namna gan nchi inaongozwa,wanataka kuleta mambo yao ya ubaguz mapema hivyo wanadhan sisi tuna roho mbaya Kama wao?
 
Nyie maustaadhi mnajifanya mnatetea haya semeni lini wanawake wa kiislam wameanza kwenda kuzika makaburini.mama samia alienda kumzika pombe
 
Anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. Hili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
Umesahau kuwa serikali haina Dini?
 
Umeelewa nilichokiandika?
Ukisema Amani ya bwana Mungu muumba iwe nanyi unawatenga wasioamini Uwepo wa Mungu ambao nao ni watanzania walipa kodi pia. Hata katiba hailitaji taifa hili kuwa lina dini. (Pia rejea hotuba ya Nyerere ya mwaka 1995, kuanzia dakika ya 19). Hivyo salamu ya 'Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania' inawaunganisha watu wote.

Mseme hivyo sasa mtaeleweka,sasa mkisema kama kwa salaam hiyo analeta udini,Mara ooh anaupendelea uislam hamuwez kueleweka,na pia kwann HOJA hii kipind Cha Magufuli hamkuleta mnaileta leo??

Just one month ago Magufuli alitumia salaam kama hii,hatukusikia mkihoj,why mnahoji sasa??

Mmeona mlivyo na shida nyiny
 
Wanazi wa kidini watafura, watasema na watamrejesha kwenye zao za kidini.
 
Wanazi/washupavu wa dini mna shida sana
SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
 
Mseme hivyo sasa mtaeleweka,sasa mkisema kama kwa salaam hiyo analeta udini,Mara ooh anaupendelea uislam hamuwez kueleweka,na pia kwann HOJA hii kipind Cha Magufuli hamkuleta mnaileta leo??

Just one month ago Magufuli alitumia salaam kama hii,hatukusikia mkihoj,why mnahoji sasa??

Mmeona mlivyo na shida nyiny
Ni wapi ni, nimesema Asalam aleykum ni salamu ya kidini? Ndiyo kuna watu wanamini hivyo lakini ni kwa sababu ya kukosa uelewa tu.

Na sio kwamba tunahoji, bali tunatoa ufanano kati ya salamu mpya na za zamani. Hii salamu ya jana imekaa poa zaidi kjliko za nyuma.
 
Maswala ya kidini yanatakiwa yakae mbali kabisa na serikali. Serikali inapaswa kutengwa dhidi ya muingiliano wowote wa kidini.

Back
Top Bottom