Mwnyw nmehisi hizi n I'D mbili ya mtu mmoja wanatuchora humu ๐
Kwa sasa anawaogopa mishangazi lakini mambo yokimfika kwa shingo anaweza akautupa uamuzi wake kisha akazama mazima katika Ulimwengu wa mishangazi.secretarybird mdogo etu anaogopa mishangazi naomba utoe neno lakoo ndugu yangu โบ๏ธ๐
Kweli mkuu ni vyema kujipanga na kuwa na financial freedom Ila sisi tulichagua kwenda na vyotee na tukasema tutakutana navyo mbele kwa MBELEE
Monetary doctor
Kwahiyo mkuu wewe ni bikra ?Asante kwa kunitetea mkuu ๐
Mm bado sijawah kufanya mapenzi, namsubir mwanamke sahihi ntakapomuoa
๐Kwa nin?
Ndio mkuu ๐Kwahiyo mkuu wewe ni bikra ?
Daah hongera mkuu endelea kujitunza uje kubikiriwa kwenye ndoa inshallah.Ndio mkuu ๐
Bahat mbaya imeshatolewa na mtoa mada ๐Daah hongera mkuu endelea kujitunza uje kubikiriwa kwenye ndoa inshallah.
Nimetuma wakusalimie barua pia nimetuma usomeee,Kwa sasa anawaogopa mishangazi lakini mambo yokimfika kwa shingo anaweza akautupa uamuzi wake kisha akazama mazima katika Ulimwengu wa mishangazi.
Hata Mimi nilikuwa na mtazamo kama wake laki tizama Leo hii nilivyozama katika Ulimwengu wa mishangazi.
Muda utanena!
Monetary doctor
Mapenzi ya simu siyawezi, lazima mbususu ya mshangazi ifanywe kitu kibaya.Nimetuma wakusalimie barua pia nimetuma usomeee,
Nikiwa nikitembea aaah mara kwa .ara hukumbuka mapenzi yetu vip marina,
Mapenzi sio kitu kipya duniani yalianza na adamu na Hawa eeh
Afro binti wa sagana eeehTajiri naomba kazi
Etiiii ametuma shoga zake waje kuniambia moyo unamuuma kidudu penzi kinamsumbua,Mapenzi ya simu siyawezi, lazima mbususu ya mshangazi ifanywe kitu kibaya.
Ww c uliniacha ht kabla sijakutongoza ๐ญEeeeehhh. ๐น๐น๐น
Nyie hatimaye mbaga kapata demu!!
Karibu wifi next time mwambie akulete kkoo nikupe zawadi ya kijora kabla hujarudi mkoani.,!! ๐คฃ
mbaga ndie aliekuwa wa kwanza kuwaogopesha wadau kumbe alikua anajitengenezea mazingira.. Mbaga Jr huo urefu wake na yeye mmeandana vipi umetuwakilisha vyema??Nakusalimia tu boss wangu uliye mbali na mboni ya macho yangu
Haiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!,umenizururisha kwenye hilo jiji ,kidogo nilifahamu, nilieenjoy
Nitarudi tena,nakumis , nakumiss, nakumiss, nakumiss
Mimi wapare siwataki, wakinga wabahili halafu niende kwa wapare tena si nitakufa njaa ๐น๐นWw c uliniacha ht kabla sijakutongoza ๐ญ
Hii ni ya Les wanyika au.Afro binti wa sagana eeeh
Usiniweke pembeni mama aah,
Ingawa wapo wengi wazurii mamii,
Nimeridhika kuwa na wewe eeh,
Tabia zako sawa na sura yako,
Mengine mengi sisemi Afro mpka siku tutapoona Mami
Na Tz pia tufike ukawaone baba na mama eeh