secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Leo mbona unanipa vitu ambavyo sivielewi mkuu, ku nani huko?Etiiii ametuma shoga zake waje kuniambia moyo unamuuma kidudu penzi kinamsumbua,
Siri imevuma nyuma debe wengi wanalipakua
Nilikuwazia sana nikatoa nik
Ila wapare tunajua kulomba vzr πMimi wapare siwataki, wakinga wabahili halafu niende kwa wapare tena si nitakufa njaa πΉπΉ
Mi nawataka wasukuma na hivi mweupe lazima mingβombe ije mingi kwetu. πΉπΉ
Si eti shemeji Shimba ya Buyenze
Kashalewa huyoLeo mbona unanipa vitu ambavyo sivielewi mkuu, ku nani huko?
Mbege imeshamtawala.Kashalewa huyo
Za ndani kabisa Raimundo bado yupo na kwa sasa anazunguka na ID ya kike πππππππLeo ndo nmeamini watu wana ID zaidi ya 5 humu. za kujipigia promo na nyinginezo haha
Vipi kuhusu Anita yule mtoto wa morroco acha yule rozini mwenye mtoto wako oohLeo mbona unanipa vitu ambavyo sivielewi mkuu, ku nani huko?
Tutonge na bajeti avae, ndo nipo keko machungwa badoKashalewa huyo
Kulikuwa na exchange ya feelings tuu Kati yetu, tukipeana mawili matatu πI hope there was no exchange of fluids during your stay with Mbaga.
Najituliza kwake kasuku eeh,Hii ni ya Les wanyika au.
Duh, hii ya leo kali!Vipi kuhusu Anita yule mtoto wa morroco acha yule rozini mwenye mtoto wako ooh
Anataka dushelele, siyo?Najituliza kwake kasuku eeh,
Hataki maneno, maneno
Anachokipata kinamtosha aah
Hataki matata, hataki matata eeh
Umeandika kama vile unanijua, haya ngoja nije pm tupange mtokoMmh uliinjoi kweli? Bora angekua max....huyu mbaga wa kutonga na bajeti nahisi kama aliagiza chips kavu 1, juice glass 1 na mirija miwili πππ
Tazama, tazamaDuh, hii ya leo kali!
Nipo kanisani naimba kwaya MimiAnataka dushelele, siyo?
Haya mpe.
Nasikia mambo yalikua hivi.....Umeandika kama vile unanijua, haya ngoja nije pm tupange mtoko
Naona unatoka na kaka yako aliyekutangulia π.Umeandika kama vile unanijua, haya ngoja nije pm tupange mtoko
Uzuri mechi aliipata bila kipimo na alifurahia kwa 100%