Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi...
Usisahahu kumwambia Lissu ya kwamba Rais Magufuli anaongoza kwenye kura za "The Best African Leader 2020"!. Ahahahahahahaha!
 
Hivi hukuwahi msikia Bosi wako akisema kuwa kwenye vita ya uchumi, watu wa dizaini ya Lissu hawatakiwi ku-survive?

Hivi hebu tuelezane ukweli, kama siyo "system" iliyotaka kuondoa maisha yake Lissu, ni kitu gani kinachofanya Jeshi la Polisi nchini lishikwe na "kigugumizi" kwa kutomkamata mshukiwa yeyote kati ya wale waliomminia risasi, mchana kweupe, zaidi ya miaka mitatu hivi sasa?
Sawa,embu weka basi na ushahidi apa wa bosi wangu aliosema"watu kama dizaini ya Lisu awatakiwi ku-survive"
 
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi...

Kwa Tanzania mpaka tutiane VITASA ndio Tume itapatikana.
 
Eti akitoa salamu za mwaka mpya kwa watanzania.., lini?,na wapi?. Yule status yake ya ukimbizi haimruhusu kuongelea Siasa akiwa huko aliko Kama unabisha kuwa wewe sio muongo weka ushahidi wa video.

Mhhh hujui hata unaoongea nini, anaongea sana tu hiyo siasa. Hata hivyo katiba mpya ni siasa?
 
Lisu anatoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania kama nani afadhali kama kiongozi wa upinzani bungeni
 
Asante Lissu, kubwa na jepesi tumuombee Rais JPM ili aone umuhimu wa taifa kuandika katiba bora kwa nyakati hizi.

Magufuli sio muumini wa mambo ya katiba ya wananchi. Usipoteze muda wako wa maombi.
 
Wanasiasa wa tz bana yani anahamasisha watu wadai tume huru huku yeye akiwa amejichimbia ulaya na familia yake kwa nini asije kuungana na wananchi kudai hiyo tume huru
Huku nchini shetani atamuua. Hivyo anahamasisha huko alipo.
 
..Prof.Lipumba aliharibu aliporudi kimabavu ktk uongozi wa CUF na kusababisha chama kumeguka.
Haijalishi kwavile matokeo ya mpasuko huo ni kuimarika kwa chama makini mshirika wenu ACT mlichopanda nacho milima na mabonde hadi kufika hapo mlipo sasa! Wao wanakula "bata" Zenji nyie mnagonga kuku wa Bara!
 
Eti akitoa salamu za mwaka mpya kwa watanzania.., lini?,na wapi?. Yule status yake ya ukimbizi haimruhusu kuongelea Siasa akiwa huko aliko Kama unabisha kuwa wewe sio muongo weka ushahidi wa video.
Dunia Sasa hivi ni kama kijiji usisubiri kuletewa kila kitu kwenye kasahani cha dhahabu jitume walau kidogo.
 
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi....
Sawa rais wetu wa 6th phase, tumekusoma!
 
Back
Top Bottom