Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Hana kosa hata chembe,Mungu anamlinda na kumsimamia.Nitamsapoti tundu Lissu mpaka naingia kaburini maana sioni kosa lake mpaka leo
Tunataka tume huru ya uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana kosa hata chembe,Mungu anamlinda na kumsimamia.Nitamsapoti tundu Lissu mpaka naingia kaburini maana sioni kosa lake mpaka leo
Usisahahu kumwambia Lissu ya kwamba Rais Magufuli anaongoza kwenye kura za "The Best African Leader 2020"!. Ahahahahahahaha!Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi...
Sawa,embu weka basi na ushahidi apa wa bosi wangu aliosema"watu kama dizaini ya Lisu awatakiwi ku-survive"Hivi hukuwahi msikia Bosi wako akisema kuwa kwenye vita ya uchumi, watu wa dizaini ya Lissu hawatakiwi ku-survive?
Hivi hebu tuelezane ukweli, kama siyo "system" iliyotaka kuondoa maisha yake Lissu, ni kitu gani kinachofanya Jeshi la Polisi nchini lishikwe na "kigugumizi" kwa kutomkamata mshukiwa yeyote kati ya wale waliomminia risasi, mchana kweupe, zaidi ya miaka mitatu hivi sasa?
Amewaomba wadau wote kuhakikisha wanadai Tume huru ya uchaguzi bila kuchoka, ndani ya nchi na kwenye majukwaa yote ya kimataifa
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi...
Eti akitoa salamu za mwaka mpya kwa watanzania.., lini?,na wapi?. Yule status yake ya ukimbizi haimruhusu kuongelea Siasa akiwa huko aliko Kama unabisha kuwa wewe sio muongo weka ushahidi wa video.
Asante Lissu, kubwa na jepesi tumuombee Rais JPM ili aone umuhimu wa taifa kuandika katiba bora kwa nyakati hizi.
Lisu anatoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania kama nani afadhali kama kiongozi wa upinzani bungeni
Nani amuuwe,kwa kipi kwanza mpaka iwe ivyo?
Kilicho mkimbiza ni aibu ya kushindwa vibaya uchaguzi na kupukutishwa wabunge wote aliowakuta Chadema.
Huku nchini shetani atamuua. Hivyo anahamasisha huko alipo.Wanasiasa wa tz bana yani anahamasisha watu wadai tume huru huku yeye akiwa amejichimbia ulaya na familia yake kwa nini asije kuungana na wananchi kudai hiyo tume huru
Haijalishi kwavile matokeo ya mpasuko huo ni kuimarika kwa chama makini mshirika wenu ACT mlichopanda nacho milima na mabonde hadi kufika hapo mlipo sasa! Wao wanakula "bata" Zenji nyie mnagonga kuku wa Bara!..Prof.Lipumba aliharibu aliporudi kimabavu ktk uongozi wa CUF na kusababisha chama kumeguka.
Unatia aibu sana!Sawa,embu weka basi na ushahidi apa wa bosi wangu aliosema"watu kama dizaini ya Lisu awatakiwi ku-survive"
Ni heri umasikini wa hela kuliko umasikini wa akiliLisu anatoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania kama nani afadhali kama kiongozi wa upinzani bungeni
Dunia Sasa hivi ni kama kijiji usisubiri kuletewa kila kitu kwenye kasahani cha dhahabu jitume walau kidogo.Eti akitoa salamu za mwaka mpya kwa watanzania.., lini?,na wapi?. Yule status yake ya ukimbizi haimruhusu kuongelea Siasa akiwa huko aliko Kama unabisha kuwa wewe sio muongo weka ushahidi wa video.
Asante Lissu, kubwa na jepesi tumuombee Rais JPM ili aone umuhimu wa taifa kuandika katiba bora kwa nyakati hizi.
Sawa rais wetu wa 6th phase, tumekusoma!Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi....
Uongo unaposhamiri.
Duh!