Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Mara ya kwanza alitaka kumwua kwa sababu ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani uyo alietaka kumuua,embu mtaje uweke na ushahidi apa?
Kazurula miezi miwili kwenye kampeni vijijini na mijini akuchomwa hata mwiba,leo baada ya uchaguzi kakimbia eti anataka kuuwawa,ilhali wapinzani wengine kama yeye wapo na wengine serikali inawatambua kama wawekezaji wakina Sugu.
 
Mwambie Amsterdam apeleke madai ya tume huru ICC
 
Wanasiasa wa tz bana yani anahamasisha watu wadai tume huru huku yeye akiwa amejichimbia ulaya na familia yake kwa nini asije kuungana na wananchi kudai hiyo tume huru
Kaanza wazo au hoja na imefika. Watu waitetee hiyo hoja sio vita. Kujichimbia kunakujaje hapa
 
naona sasa hivi hata matamko mazito yanayohitaji vikao anajitamkia tu kama mwezi kajisahau kuwa yeye ni kiongozi wa chama sio tu Mtu wa mitaani mtoa maoni yake binafsi
 
Wanasiasa wa tz bana yani anahamasisha watu wadai tume huru huku yeye akiwa amejichimbia ulaya na familia yake kwa nini asije kuungana na wananchi kudai hiyo tume huru
Yeye Lisu na Lema ni matapeli wakubwa wa kisiasa walikuwa wakibwata No fear no fear no fear halafu hao wakatimka mbili kukimbilia nje ya nchi ohh we fear we fear !!!!!
 
Yeye Lisu na Lema ni matapeli wakubwa wa kisiasa walikuwa wakibwata No fear no fear no fear halafu hao wakatimka mbili kukimbilia nje ya nchi ohh we fear we fear !!!!!
Hujui huu mchoro ulivyo , bora unyamaze
 
Huyu kibaraka yuko kazini. Ghana uchaguzi umefanyika.. kama kawaida huku afrika ukishindwa wapinzani wamedai tume sio huru. Malawi napo baada ya upinzani kushinda rais amepangiwa baraza la mawaziri na waliyomfadhili fedha kuendesha kesi. Hadi kuna mtu na mkewe wote kawapanga kufidia fadhila. Lissu kama kawaida kuropoka kutoa mifano ya demokrasia haina maana wala ukweli.
Wanachotaka mabwana wa kina lissu kuleta vurugu za kuwafaidisha mabeberu wenye uroho kudhibiti uchumi wetu.
ongo wa lissu kuchagi
 
una hoja duni sana ! hivi unajua kusoma na kuandika kweli ?
 
Kama alitaka kuzungumzwa baada ya kupotea vichwani mwa watu mwambie amefanikiwa , ila kudai hio tume mwambie aje tudai wote
 
Ni wazo zuri lenye mashiko kwa Watz. Tatizo ni Jiwe na CCM yake ambao hawataki kusikia TUME HURU wala KATIBA MPYA!!!
Magufuli na CCM kwa sasa ndio tatizo sugu kwa nchi yetu.
The only and best way is to get rid of Magufuli and his CCM Party......!!!
 
KAMA KUNA MWAKA TENA WA UCHAGUZI NA KUFANYA KAMA ILIVYOFANYIKA KWENYE UCHAFUZI WA MWAKA 2020 ITAKUWA NI KUMCHOKOZA NA KUMTANIA MUNGU. KATI YA MAMBO MAKUBWA ALIYOTUEPUSHA MUNGU KWA MWAKA 2020 BASI KUBWA LA KWANZA NI KUWAFANYA WATANZANIA WAACHILIE NA KUNYAMAZIA KILICHOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI WA MWAKA 2020 NA LA PILI LINALOFUATA KWA UKUBWA NI KUTUOKOA TOKA MIKONONI MWA CORONA.
 
Hujitambui pumbaaaf na kibaraka mkubwa wa CCM....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…