prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Arudi tuandamane nae....
Hahahaha
Hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani uyo alietaka kumuua,embu mtaje uweke na ushahidi apa?
Lisu ndo anatia aibu.Unatia aibu sana!
Mwambie Amsterdam apeleke madai ya tume huru ICCAkitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi
Amewaomba wadau wote kuhakikisha wanadai Tume huru ya uchaguzi bila kuchoka, ndani ya nchi na kwenye majukwaa yote ya kimataifa , huku akitoa mifano ya nchi za Ghana, Kenya na Malawi kama kielelezo cha mafanikio ya upatikanaji wa Tume huru kutokana na juhudi za wananchi wa nchi hizo.
Mimi binafsi naunga mkono madai ya Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania, natoa wito kwa Watanzania kupigania Tume huru ya uchaguzi kwa udi na uvumba ili kuwezesha mchakato huru na wa haki wa kupata viongozi na hatimaye kuondoa manung'uniko, laana na mikosi kwenye nchi, kupigania Tume huru halijawahi kuwa kosa mahali popote kwenye dunia hii wala Ahera, Haki huinua Taifa.
Kaanza wazo au hoja na imefika. Watu waitetee hiyo hoja sio vita. Kujichimbia kunakujaje hapaWanasiasa wa tz bana yani anahamasisha watu wadai tume huru huku yeye akiwa amejichimbia ulaya na familia yake kwa nini asije kuungana na wananchi kudai hiyo tume huru
Yeye Lisu na Lema ni matapeli wakubwa wa kisiasa walikuwa wakibwata No fear no fear no fear halafu hao wakatimka mbili kukimbilia nje ya nchi ohh we fear we fear !!!!!Wanasiasa wa tz bana yani anahamasisha watu wadai tume huru huku yeye akiwa amejichimbia ulaya na familia yake kwa nini asije kuungana na wananchi kudai hiyo tume huru
Akikujibu nistue
Hujui huu mchoro ulivyo , bora unyamazeYeye Lisu na Lema ni matapeli wakubwa wa kisiasa walikuwa wakibwata No fear no fear no fear halafu hao wakatimka mbili kukimbilia nje ya nchi ohh we fear we fear !!!!!
Huyu kibaraka yuko kazini. Ghana uchaguzi umefanyika.. kama kawaida huku afrika ukishindwa wapinzani wamedai tume sio huru. Malawi napo baada ya upinzani kushinda rais amepangiwa baraza la mawaziri na waliyomfadhili fedha kuendesha kesi. Hadi kuna mtu na mkewe wote kawapanga kufidia fadhila. Lissu kama kawaida kuropoka kutoa mifano ya demokrasia haina maana wala ukweli.Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi
Amewaomba wadau wote kuhakikisha wanadai Tume huru ya uchaguzi bila kuchoka, ndani ya nchi na kwenye majukwaa yote ya kimataifa , huku akitoa mifano ya nchi za Ghana, Kenya na Malawi kama kielelezo cha mafanikio ya upatikanaji wa Tume huru kutokana na juhudi za wananchi wa nchi hizo.
Mimi binafsi naunga mkono madai ya Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania, natoa wito kwa Watanzania kupigania Tume huru ya uchaguzi kwa udi na uvumba ili kuwezesha mchakato huru na wa haki wa kupata viongozi na hatimaye kuondoa manung'uniko, laana na mikosi kwenye nchi, kupigania Tume huru halijawahi kuwa kosa mahali popote kwenye dunia hii wala Ahera, Haki huinua Tai
ongo wa lissu kuchagi
una hoja duni sana ! hivi unajua kusoma na kuandika kweli ?Huyu kibaraka yuko kazini. Ghana uchaguzi umefanyika.. kama kawaida huku afrika ukishindwa wapinzani wamedai tume sio huru. Malawi napo baada ya upinzani kushinda rais amepangiwa baraza la mawaziri na waliyomfadhili fedha kuendesha kesi. Hadi kuna mtu na mkewe wote kawapanga kufidia fadhila. Lissu kama kawaida kuropoka kutoa mifano ya demokrasia haina maana wala ukweli.
Wanachotaka mabwana wa kina lissu kuleta vurugu za kuwafaidisha mabeberu wenye uroho kudhibiti uchumi wetu.
NithibitishieHakushinda kweli
Ni wazo zuri lenye mashiko kwa Watz. Tatizo ni Jiwe na CCM yake ambao hawataki kusikia TUME HURU wala KATIBA MPYA!!!Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi
Amewaomba wadau wote kuhakikisha wanadai Tume huru ya uchaguzi bila kuchoka, ndani ya nchi na kwenye majukwaa yote ya kimataifa , huku akitoa mifano ya nchi za Ghana, Kenya na Malawi kama kielelezo cha mafanikio ya upatikanaji wa Tume huru kutokana na juhudi za wananchi wa nchi hizo.
Mimi binafsi naunga mkono madai ya Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania, natoa wito kwa Watanzania kupigania Tume huru ya uchaguzi kwa udi na uvumba ili kuwezesha mchakato huru na wa haki wa kupata viongozi na hatimaye kuondoa manung'uniko, laana na mikosi kwenye nchi, kupigania Tume huru halijawahi kuwa kosa mahali popote kwenye dunia hii wala Ahera, Haki huinua Taifa.
Verified member wa JF wala sihangaiki naoNithibitishie
KAMA KUNA MWAKA TENA WA UCHAGUZI NA KUFANYA KAMA ILIVYOFANYIKA KWENYE UCHAFUZI WA MWAKA 2020 ITAKUWA NI KUMCHOKOZA NA KUMTANIA MUNGU. KATI YA MAMBO MAKUBWA ALIYOTUEPUSHA MUNGU KWA MWAKA 2020 BASI KUBWA LA KWANZA NI KUWAFANYA WATANZANIA WAACHILIE NA KUNYAMAZIA KILICHOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI WA MWAKA 2020 NA LA PILI LINALOFUATA KWA UKUBWA NI KUTUOKOA TOKA MIKONONI MWA CORONA.Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi
Amewaomba wadau wote kuhakikisha wanadai Tume huru ya uchaguzi bila kuchoka, ndani ya nchi na kwenye majukwaa yote ya kimataifa , huku akitoa mifano ya nchi za Ghana, Kenya na Malawi kama kielelezo cha mafanikio ya upatikanaji wa Tume huru kutokana na juhudi za wananchi wa nchi hizo.
Mimi binafsi naunga mkono madai ya Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania, natoa wito kwa Watanzania kupigania Tume huru ya uchaguzi kwa udi na uvumba ili kuwezesha mchakato huru na wa haki wa kupata viongozi na hatimaye kuondoa manung'uniko, laana na mikosi kwenye nchi, kupigania Tume huru halijawahi kuwa kosa mahali popote kwenye dunia hii wala Ahera, Haki huinua Taifa.
Hujitambui pumbaaaf na kibaraka mkubwa wa CCM....!!!Nani uyo alietaka kumuua,embu mtaje uweke na ushahidi apa?
Kazurula miezi miwili kwenye kampeni vijijini na mijini akuchomwa hata mwiba,leo baada ya uchaguzi kakimbia eti anataka kuuwawa,ilhali wapinzani wengine kama yeye wapo na wengine serikali inawatambua kama wawekezaji wakina Sugu.