Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Amewaomba wadau wote kuhakikisha wanadai Tume huru ya uchaguzi bila kuchoka , ndani ya nchi na kwenye majukwaa yote ya kimataifa , huku akitoa mifano ya nchi za Ghana , Kenya na Malawi kama kielelezo cha mafanikio ya upatikanaji wa Tume huru kutokana na juhudi za wananchi wa nchi hizo .
Asisahau, hii inakwenda sambamba na kuwaelimisha na kuwahamasisha wananchi wawe na uelewa na hamasa ya kudai haki hiyo.

Wananchi wanahitaji uongoziimara na wanaouamini. Ndiyo maana tunawahimizaCHADEMA na washirika wao wote wawe sehemu muhimu wa kudai haki hiyo. Viongozi ambao hawapo Bungeni sasa, wawe viongozi wa kweli kweli huko 'Site', ambako ndiko kazi muhimu inakotakiwa kufanyika.

Kazi ya kupiga kelele Bungeni sasa igeuke kuwa kazi ya kuelimisha waTanzania, mlango kwa mlango.

Kuhusu mifano ya Tume Huru zilizotolewa hapo kwenye bandiko - Kama ile Tume ya Uchaguzi ya Kenya nayo inakuwa ni mfano wa kuwekwa hapo, basi hakuna sababu ya kuhangaika na kutoa jasho kuitafuta tume ya namna hiyo, hata hapa Tanzania.

Kama mfano ni juu ya mchakato uliotumika kupata hiyo tume chafuzi ya huko Kenya, basi hilo ni jambo lingine.

Sijui Malawi walifanya nini, lakini nadhani wao wanastahili kuwepo kwenye mfano huo kuliko hao wa Kenya.
 
Asisahau, hii inakwenda sambamba na kuwaelimisha na kuwahamasisha wananchi wawe na uelewa na hamasa ya kudai haki hiyo.

Wananchi wanahitaji uongoziimara na wanaouamini. Ndiyo maana tunawahimizaCHADEMA na washirika wao wote wawe sehemu muhimu wa kudai haki hiyo...
ukifuatilia kinachoendelea Kenya kwa sasa unaweza kuona kitu kipya
 
Lissu anaposema kuwa ni vigumu upinzani kushinda chaguzi bila katiba mpya ni ina maana anakishauri chama chake CHADEMA kisidiriki kushiriki chaguzi zijazo.

Kwa maneno hayo maana yake anasadikisha kauli na msimamo wa CUF uliotolewa na mwenyekiti wake Prof. Lipumba kwenye kongamano liloitishwa na chama hicho la uzinduzi wa kudai katiba mpya.

Kuna mashibiki humu wasiojitambua wamesimama kubeza misimamo ya CUF au mwenyekiti wake Lipumba hata kama ina matiki.

Ukweli ni kwamba Lipumba ana maono ya mbali ambayo wasiojitambua hawawezi kuyaona bali yanapotimia wanajenga chuki binafsi dhidi yake na kumchafua.

Mathali, Lipumba alimkataa Lowassa hata akajiuzulu uwenyekiti na wasiojitambua wakamtuhumu kuwa anatumika na CCM kutenza nguvu ya UKAWA wakisahau kuwa ushirika huo ulibuniwa na yeye. Mbali na hilo, CUF ilitoa msimamo mapema kabla ya uchaguzi uliopita kuwa haitashirikiana na chama chochote kitakachosimamisha Mgombea kutoka CCM. CHADEMA wakaona Lipumba ni mjinga na matokeo yake wakajinasibisha na ACT waliomsimamisha Membe wa CCM. Mbaya zaidi, Lissu huyu alidiriki kumuweka pingamizi Lipumba badala ya Membe wa CCM kwavile tu chama chake kilijitenga na "utopolo" wao waliouita "Ushirika wa CHAFEMA na ACT".

Alichokikataa Lipumba leo kimekuja kudhihiri mapema baada ya uchaguzi huo. Leo CHADEMA hawana hamu tena ya kujinashibisha na ACT bali wanaanza kufuata muongozo na harakati zilizobuniwa na CUF/Lipumba kuhusu madai ya katiba mpya.

Ushauri wangu kwa CHADEMA na mashabiki "wamsujudie" Lipumba bali wasitarajie kupata ushindi kwa kumchafua yeye na kuwatukuza makada kutoka CCM.
 
ukifuatilia kinachoendelea Kenya kwa sasq unaweza kuona kitu kipya
Eeenh, ile BBI? Usihadaike sana mkuu wangu 'Erythro.'

Hawa "Jamaa zetu yapo mengi tunayoweza kusema wanayafanya vizuri katika ngazi mbalimbali, lakini tatizo lao huwa haliishi. Hata wafanye JAMBO VIZURI VIPI, MATOKEO YA KAZI HIZO HUWA NI YA kutatanisha.

ANGALIA WALIVYOHANGAIKA NA ILE KATIBA YAO, WAKASEMA NI BORA SANA, SASA WANATAFUTA KUIREKEBISHA HATA MIAKA KUMI HAIJAISHA.
Tunawashukuru kwa tiba waliyomfanyia Tundu, na kumsaidia Godbless kuepusha maisha yake; lakini katika kuiga mambo yao mengine, sioni uhitaji huo.
 
Hivi yupo huyu jamaa.. Naona kasahaulika ghafla,
Salami zimefika na sisi twamwambia awasalimie mabeberu huko ulaya.
 
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania , Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa , amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi...
What is "huru"? Is it the wording in the Act? Is it the person who heads it (a) lacks the required qualifications or (b) acts contrary to the law? I have seen many Tumes in the whole world, and here. If you ask me we are very huru.

I've heard tundulissu referring to Kenya many times manyang'au particularly annulment if the last Presidential elections. It was nothing but ukabila, Jaji Mkuu ni Mluhya antagonists walikuwa dholuo na gikuyu. In the end Gikuyu alipita bila kupingwa, having spent all tha money. Hint: safari hii Mudavadi?

In the USA the final arbiter is the Supreme Court: sasa hivi we KNOW for sure activist judges ni 2 tu, waliobaki 5 ni rightwingers baada ya yule Mama Mkatoliki kuingia. Kuna mweusi mmOja tu, ultra right-wing, alikataa special privileges affirmative actions kwa weusi. Walimzulua scandalised kwenye confirmation lakini likasevu,

It is so predictable huko kote je, na sisi mnataka twende huko?

Niendelee? UK ni Oxbridge na Eaton na Harrow, privileged people kwa kina fatmakarume; hamna kitu huko. South Africa makaburu yalishamdhihaki Mungu, ona jinsi Covid inavyowala - Askofumkuu wao shoga ana Nobel.

France, Latvia na Venezuela sijui lakini nao hawajui kwetu. Relax, tuko sawa.

Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa CCM.
 
Nani amuuwe,kwa kipi kwanza mpaka iwe ivyo?
Kilicho mkimbiza ni aibu ya kushindwa vibaya uchaguzi na kupukutishwa wabunge wote aliowakuta Chadema.
Nani amuuwe,kwa kipi kwanza mpaka iwe ivyo?
Kilicho mkimbiza ni aibu ya kushindwa vibaya uchaguzi na kupukutishwa wabunge wote aliowakuta Chadema.
Nani amuuwe,kwa kipi kwanza mpaka iwe ivyo?
Kilicho mkimbiza ni aibu ya kushindwa vibaya uchaguzi na kupukutishwa wabunge wote aliowakuta Chadema.
Hivi hukuwahi msikia Bosi wako akisema kuwa kwenye vita ya uchumi, watu wa dizaini ya Lissu hawatakiwi ku-survive?

Hivi hebu tuelezane ukweli, kama siyo "system" iliyotaka kuondoa maisha yake Lissu, ni kitu gani kinachofanya Jeshi la Polisi nchini lishikwe na "kigugumizi" kwa kutomkamata mshukiwa yeyote kati ya wale waliomminia risasi, mchana kweupe, zaidi ya miaka mitatu hivi sasa?
 
What is "huru"? Is it the wording in the Act? Is it the person who heads it (a) lacks the required qualifications or (b) acts contrary to the law? I have seen many Tumes in the whole world, and here. If you ask me we are very huru....
Njaa inadhalilisha sana !
 
Wanasiasa wa tz bana yani anahamasisha watu wadai tume huru huku yeye akiwa amejichimbia ulaya na familia yake kwa nini asije kuungana na wananchi kudai hiyo tume huru
 
Lissu anaposema kuwa ni vigumu upinzani kushinda chaguzi bila katiba mpya ni ina maana anakishauri chama chake CHADEMA kisidiriki kushiriki chaguzi zijazo....

..Prof.Lipumba aliharibu aliporudi kimabavu ktk uongozi wa CUF na kusababisha chama kumeguka.
 
Back
Top Bottom