Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

Yawezkana tender alipewa mtu mmoja
 
Nimeipenda hiyo kadi ya tatu ya siku ya kuzaliwa kwake, sasa sijui siku ya Idd wataweka kadi gani, au walisahau kuwa Idd inakuja na zote mbili zinawahusu wanaume!
 
Binadam kulalamika ndo jadi yetu
 

Natamani kujua uhusiano wa mayai na Pasaka, kadi nyingi za pasaka zina sungura na mayai

 
Wangeweka msalaba, maana msalaba ni alalama ya ukombozi kwa wanadamu, Yesu alisulubiwa hapo akashushwa akazikwa kaburini na siku ya tatu akafufuka. Sasa hayo mayai ya nini ikiwa tu si alama ya tukio kama hili?
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…