Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kuna umuhimu watumie pesa kutoa salamu?Hata unge disign wewe ungekula mkwanja wa maana!
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna umuhimu watumie pesa kutoa salamu?Hata unge disign wewe ungekula mkwanja wa maana!
Ova
Sio yeye ni mafundisho ya dini ile kwa watoto wao.Udini umeshika kasi awamu ya sita, mama hapendi kabisa ukristo anatamani usingekuwepo ila haiwezekani.
Wakristo wa mapema, walitambua nguvu ya yai kama ishara ya maisha mapya, waliunganisha mayai na maisha mapya yaliyopatikana katika Ufufuo wa Yesu Kristo wakati wa Pasaka.
Mayai ni ishara kamili ya Pasaka, na ishara ya maisha mapya katika Kristo. Fikiria mstari ufuatao maarufu wa Mtakatifu Paulo, “Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo, amekuwa kiumbe kipya; tazama, kila kitu kimekuwa kipya!" ( 2 Wakorintho 5:17 ).
Zaidi ya hayo, yai ni kielelezo cha Ufufuo wenyewe kifaranga akitoka kwenye ganda lake anawakilisha Yesu akitoka kaburini mwake siku ya Pasaka.
Petty issues ndio Watzn wengi Wanazimudu tofauti na hapo huwa ni weupe.🤣🤣🤣🤣🤣 mbona mna over do mambo jamani?
Tatizo ni kwamba dini nyingi si zetu- sisi tumeiga tuu ukristo au Uisilamu. Wewe kama kweli ni mkristo ungejua haya mayai kwenye sherehe ya pasaka yanatoka wapi. Kwenye Christmas kuna Santa claus na kwenye Pasaka - watu wa majuu wanatumia mayai yaliyopakwa rangi na mara nyingine sungura. Yai linaonyesha "uzazi" viumbe vingi vinaanzia kwenye yai. Pasaka ni sikukuu ya kuzaliwa upya Yesu Kristo baada ya kushinda mauti. Dini ya Kikristo inaanza upya baada ya Yesu kufufuka baada ya kukaa kaburini siku tatu. Kwahiyo hakuna Udini wala Dharau ambayo inafanywa na taasisi za Umma. Tuache "Ku Overthink" na kukuza mambo ambayo hayapo. Jifunze zaidi historia ya dini yako kabla ya kufadhaika na kulaumu watu wengine.Nimeona taasisi nyingi za umma zimetuma salamu za pasaka zikiambatana na picha za mayai yenye rangi mbalimbali.
I mean, what the f*ck is that? Kwa wakristo pasaka ni sherehe ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu Kristo, mayai yanatoka wapi?
Au ndio dharau kwakua awamu hii ni wa upande ule??
I'm very disappointed with this, hizi habari za Santa na Easter eggs waachieni mabepari walio monetize sherehe za kikristo.
Kama hamuwezi kuweka picha zenye uhusiano na sherehe yenyewe ni bora mngeacha tu.
View attachment 2190638
View attachment 2190639
View attachment 2190640
View attachment 2190641
Natamani na sisi tuanzishe siku ya kumbukizi ya babu zetu akina Mwanamarundi,mabandiko yarembwe kwa michoro ya nyoka,bundi,fisi,mikuki,vibuyu vyenye shanga,nk....Jamani ee dini za watu hizi sie tufate tu wanavyotupeleka
Natamani na sisi tuanzishe siku ya kumbukizi ya babu zetu akina Mwanamarundi,mabandiko yarembwe kwa michoro ya nyoka,bundi,fisi,mikuki,vibuyu vyenye shanga,nk....
Ya wazungu tuwaachie wenyewe.
Katika hili sitamsahau kamwe mwamba anko Magu kwa jinsi alivyo tujaza ujasiri na kuweza kukabiliana dhidi ya takataka za wazungu.Tutatengwa,corona tu na malimao yetu na barakoa za vitenge tulisimangwa
Picha gani sasa ingewekwa? Mbona miaka yote huwa zinawekwa hizo??Nimeona taasisi nyingi za umma zimetuma salamu za pasaka zikiambatana na picha za mayai yenye rangi mbalimbali.
I mean, what the f*ck is that? Kwa wakristo pasaka ni sherehe ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu Kristo, mayai yanatoka wapi?
Au ndio dharau kwakua awamu hii ni wa upande ule??
I'm very disappointed with this, hizi habari za Santa na Easter eggs waachieni mabepari walio monetize sherehe za kikristo.
Kama hamuwezi kuweka picha zenye uhusiano na sherehe yenyewe ni bora mngeacha tu.
View attachment 2190638
View attachment 2190639
View attachment 2190640
View attachment 2190641