orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Acha elewa hivyo kwamba sherehe za kipagani,na paschal ziliadhimishwa majira ya pamoja hivyo ule utamaduni wakutumia mayai na sungura wakahama nao katika makanisa ya mwanzo kama orthodox,ingawa ulipingwa na catholic na baadae ukapewa tafsiri nyingine AD...... Soma utaelewa ndio maana mwishoni pale nimesema bado najifunzaSasa na wewe mbona haueleweki?
Wewe si ndio umetupa historia kamili ya Sikukuu ya Easter na kutujulisha kua ni Sikukuu ya kipagani na huyo mungu east akambadilisha sungura kua kuku ili asidhurike na baridi?