Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

Bila shaka hao graphics designer ni wanawake, c unajua tena wanawake wana mayai yao ndani kwa ndani.
 
Udini umeshika kasi awamu ya sita, mama hapendi kabisa ukristo anatamani usingekuwepo ila haiwezekani.
Wewe ndio mdini and playing victim,hio chuki yake mbona hautuioni au yeye ndio katengeneza hayo mabango ,matangazo ya Easter yapo miaka mingi

victim syndrome
 
Kweli tuna safari ndefu yaani mtu anajadili mayai kwenye picha
 
Udini umeshika kasi awamu ya sita, mama hapendi kabisa ukristo anatamani usingekuwepo ila haiwezekani.
Unataka awafanyie nn hili mjue anawapenda?maana sijaona baya alilofanya kwenu maana mnapendaga kulalamika balaa km watoto yatima hivi nyinyi mngekuwa mnafanyiwa kama waislama wanavyofanyiwaga mngekuwa katika hali gani maana tangu nchi hii ipate Uhuru sijawahi kusikia polisi wameingia kanisani kukamata viongozi wa dini kupiga risasi kiongozi wa dini yenu lakini nyinyi kulalamikaaaa tu
 
Nimeona taasisi nyingi za umma zimetuma salamu za pasaka zikiambatana na picha za mayai yenye rangi mbalimbali.

I mean, what the f*ck is that? Kwa wakristo pasaka ni sherehe ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu Kristo, mayai yanatoka wapi?

Au ndio dharau kwakua awamu hii ni wa upande ule??

I'm very disappointed with this, hizi habari za Santa na Easter eggs waachieni mabepari walio monetize sherehe za kikristo.

Kama hamuwezi kuweka picha zenye uhusiano na sherehe yenyewe ni bora mngeacha tu.

View attachment 2190638
View attachment 2190639
View attachment 2190640
View attachment 2190641
Hiyo ni picha ya mayai au hereni?
 
We kiazi Acha Uvivu,nilitaka niandike hapa maana ya Easter Egg or Paschal Egg lkn nimeona itakufanya uwe mvivu zaidi,take ur time hata Google tu itakupa ufafanuzi kamili.
 
Daaaahhh Wakristo kuweni basi waungwana jamani, yaani hata hili la mayai mnataka kumsingizia mama kweli?
Yaani hii nchi kila apoongoza mwislamu inakua ni nongwa atanasibishwa na kila balaa ili aonekane tu ni mdini.
Mbona jiwe alikua anatubagua na alikua ni mdini kwelikweli ila wavaa makobazi tuliamua kunyamaza tu.
Punguzeni nongwa wandugu hii ni nchi yetu sote jamani.
 
Mkuu swali lako ni zuri sana ujue waafrica tunateketea pasipokua na maarifa kwa maana tunaenda kufuata tuu walichokianzisha hawa watu weupe bila kujua lengo au chimbuko la haya mapokeo ni nini yawezekana ni mapokeo mazuri tuu ila tunapokea juujuu tuu mfano hao jamaa waliochora mayai wamecopy tuu kwa kuangalia logos za huko ng'ambo......
Swali lako limenirudisha katika siku ya jana ambapo niliingia instagram kutafuta quotes mbalimbali kwa siku hiyo ya Pasaka katika kusearch nikaona quotes na izo designs nyingine zina mayai na sungura anatamia sikuelewa uhusiano wa mayai+sungura+Sikukuu ya pasaka .....
Basi nikaingia duckduck.go kuuliza huu uhusiano umekaaje na nikaguundua mambo kadhaa kwanza haya majira ya ya easter yalikuwepo kabla ya Yesu hajazaliwa na yalikuwa yakifanywa na wapagani Mungu wao akiitwa (Ostare jina east katka German Mungu wa kipagani )...
Uhusiano wa mayai na sungura inasema EOstare katika majira ya baridi alifanya muujiza wa kumbadilisha sungura kuwa ndege ili aweze kupambana na majira ya baridi naa baada kipindi cha baridi kilipoisha huyu ndege akampa zawadi huyu mungu wa kipagani kuonyesha kwamba ni ishara ya maisha mapya,ukitafuta utaona huyu ostara akiwa katika bustani yenye maua+mayai+sungura.... Baada ya hapo tamaduni za kijerman zikawa zinatumia mfumo huo kumuenzi ostara kwa wanaume kuficha mayai katika bustani zao na wanawake+watoto wanayatafuta kuashiria kuanza maisha mapya wakiamini dunia ilitoka kwenye yai ,na yai ni uumbaji lakini utamaduni huu wakipagani uliendelea kutumika hata leo hii ila chimbuko haswa ni huyo eostara mungu wakipagani ambapo pia wanasema neno easter limetokana na hilo jina lakipagani
Soo naendelea kujifunza......
Yaani nyie Wakristo kumbe wenyewe mnasheherekea Sikukuu ya kipagani kwa kumuadhimisha mungu east halafu mnataka kumsingizia mama ndie amewaletea mayai.

"Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliewaroga mkaacha kumuabudu MUNGU muumba mbingu na nchi na kuanza kuabudu miungu ya kipagani?
 
Yaani nyie Wakristo kumbe wenyewe mnasheherekea Sikukuu ya kipagani kwa kumuadhimisha mungu east halafu mnataka kumsingizia mama ndie amewaletea mayai.
Hapana mkuu hao graphics designer wanacopy na kupaste vile vile madhehebu mengi hawasomi na kuelewa mambo sio wakristo tuu
 
Hapana mkuu hao graphics designer wanacopy na kupaste vile vile madhehebu mengi hawasomi na kuelewa mambo sio wakristo tuu
Sasa na wewe mbona haueleweki?
Wewe si ndio umetupa historia kamili ya Sikukuu ya Easter na kutujulisha kua ni Sikukuu ya kipagani na huyo mungu east akambadilisha sungura kua kuku ili asidhurike na baridi?
 
Back
Top Bottom