Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

Udini umeshika kasi awamu ya sita, mama hapendi kabisa ukristo anatamani usingekuwepo ila haiwezekani.
Ila wewe jamaa una udini mnoo,kwani kwenye udini watoto wako wanalipiwa ada bure? Au kwa kuwa una ufinyo wa akili ?
 
Udini unakuwasha sana,Katika hili Kanisani kwako hutaniona!
 
Nimeona taasisi nyingi za umma zimetuma salamu za pasaka zikiambatana na picha za mayai yenye rangi mbalimbali.

I mean, what the f*ck is that? Kwa wakristo pasaka ni sherehe ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu Kristo, mayai yanatoka wapi?

Au ndio dharau kwakua awamu hii ni wa upande ule??

I'm very disappointed with this, hizi habari za Santa na Easter eggs waachieni mabepari walio monetize sherehe za kikristo.

Kama hamuwezi kuweka picha zenye uhusiano na sherehe yenyewe ni bora mngeacha tu.

View attachment 2190638
View attachment 2190639
View attachment 2190640
View attachment 2190641
Ni upumbavu wa hali ya juu!
 
mbona unalalamika brother shida nini? mayai tu, kanisani huwa unaenda au kazi yako ni kukoloma tu.
 
mbona unalalamika brother shida nini? mayai tu, kanisani huwa unaenda au kazi yako ni kukoloma tu.
Shida ni Chukizo la Uharibifu kusimama Madhabahuni.

Safari njema Jehanamu mkuu
 
Udini umeshika kasi awamu ya sita, mama hapendi kabisa ukristo anatamani usingekuwepo ila haiwezekani.
Mdini wa kwanza ndo ww,hupend kabisa uislamu,nakushaur hamia Roma
 
Shida ni Chukizo la Uharibifu kusimama Madhabahuni.

Safari njema Jehanamu mku .
ahhhh na wewe safari yako wapi.usije kutokea wewe ndio ukawa jehanam.maana wambongo tunawajua
 
Udini umeshika kasi awamu ya sita, mama hapendi kabisa ukristo anatamani usingekuwepo ila haiwezekani.
wacha uchochezi wa kijinga.
punguza chuki.
Fuata mafundisho ya Biblia kikamilifu utaacha chuki na uzandiki.
 
Nimeona taasisi nyingi za umma zimetuma salamu za pasaka zikiambatana na picha za mayai yenye rangi mbalimbali.

I mean, what the f*ck is that? Kwa wakristo pasaka ni sherehe ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu Kristo, mayai yanatoka wapi?

Au ndio dharau kwakua awamu hii ni wa upande ule??

I'm very disappointed with this, hizi habari za Santa na Easter eggs waachieni mabepari walio monetize sherehe za kikristo.

Kama hamuwezi kuweka picha zenye uhusiano na sherehe yenyewe ni bora mngeacha tu.

View attachment 2190638
View attachment 2190639
View attachment 2190640
View attachment 2190641
Mkuu swali lako ni zuri sana ujue waafrica tunateketea pasipokua na maarifa kwa maana tunaenda kufuata tuu walichokianzisha hawa watu weupe bila kujua lengo au chimbuko la haya mapokeo ni nini yawezekana ni mapokeo mazuri tuu ila tunapokea juujuu tuu mfano hao jamaa waliochora mayai wamecopy tuu kwa kuangalia logos za huko ng'ambo......
Swali lako limenirudisha katika siku ya jana ambapo niliingia instagram kutafuta quotes mbalimbali kwa siku hiyo ya Pasaka katika kusearch nikaona quotes na izo designs nyingine zina mayai na sungura anatamia sikuelewa uhusiano wa mayai+sungura+Sikukuu ya pasaka .....
Basi nikaingia duckduck.go kuuliza huu uhusiano umekaaje na nikaguundua mambo kadhaa kwanza haya majira ya ya easter yalikuwepo kabla ya Yesu hajazaliwa na yalikuwa yakifanywa na wapagani Mungu wao akiitwa (Ostare jina east katka German Mungu wa kipagani )...
Uhusiano wa mayai na sungura inasema EOstare katika majira ya baridi alifanya muujiza wa kumbadilisha sungura kuwa ndege ili aweze kupambana na majira ya baridi naa baada kipindi cha baridi kilipoisha huyu ndege akampa zawadi huyu mungu wa kipagani kuonyesha kwamba ni ishara ya maisha mapya,ukitafuta utaona huyu ostara akiwa katika bustani yenye maua+mayai+sungura.... Baada ya hapo tamaduni za kijerman zikawa zinatumia mfumo huo kumuenzi ostara kwa wanaume kuficha mayai katika bustani zao na wanawake+watoto wanayatafuta kuashiria kuanza maisha mapya wakiamini dunia ilitoka kwenye yai ,na yai ni uumbaji lakini utamaduni huu wakipagani uliendelea kutumika hata leo hii ila chimbuko haswa ni huyo eostara mungu wakipagani ambapo pia wanasema neno easter limetokana na hilo jina lakipagani
Soo naendelea kujifunza......
 
Back
Top Bottom