Acha elewa hivyo kwamba sherehe za kipagani,na paschal ziliadhimishwa majira ya pamoja hivyo ule utamaduni wakutumia mayai na sungura wakahama nao katika makanisa ya mwanzo kama orthodox,ingawa ulipingwa na catholic na baadae ukapewa tafsiri nyingine AD...... Soma utaelewa ndio maana mwishoni pale nimesema bado najifunzaSasa na wewe mbona haueleweki?
Wewe si ndio umetupa historia kamili ya Sikukuu ya Easter na kutujulisha kua ni Sikukuu ya kipagani na huyo mungu east akambadilisha sungura kua kuku ili asidhurike na baridi?
Unaonaje ukihamia Roma ili ukaishi na Malaika wenzio,hapa tz utatesek sn maan hao unaowait satanic wapo wng,huon kua utatesekaSatanic verses
Unataka awafanyie nn hili mjue anawapenda?maana sijaona baya alilofanya kwenu maana mnapendaga kulalamika balaa km watoto yatima hivi nyinyi mngekuwa mnafanyiwa kama waislama wanavyofanyiwaga mngekuwa katika hali gani maana tangu nchi hii ipate Uhuru sijawahi kusikia polisi wameingia kanisani kukamata viongozi wa dini kupiga risasi kiongozi wa dini yenu lakini nyinyi kulalamikaaaa tu
Achana na mimi, mimi sio muumini wa dini imported kama nyieUnaonaje ukihamia Roma ili ukaishi na Malaika wenzio,hapa tz utatesek sn maan hao unaowait satanic wapo wng,huon kua utateseka
Msawazo wa sasa utafuatwa. Usipate shida, Mkuu.Nimeipenda hiyo kadi ya tatu ya siku ya kuzaliwa kwake, sasa sijui siku ya Idd wataweka kadi gani, au walisahau kuwa Idd inakuja na zote mbili zinawahusu wanaume!
Kwahiyo huyo ndiye mhusika mkuu wa Pasaka!Msawazo wa sasa utafuatwa. Usipate shida, Mkuu.
====
Inakwepwa nembo ya siku hii labda, nadhani. Serikali aina dini ila watu wake Wana dini.
Km sio muumn wa dini hzo chuki unazitoa wapi,kwan sisi tunawachukia? Kwan ww ukiabudu kimpango wako na ukawaach wenzio waabud kimpang wao utapungukiw nn,hnatamn dunia nzima wangekua watu wa imani yako ila haiwezekan nd maan nakushaur uhamie roma,sawa kondoo??Achana na mimi, mimi sio muumini wa dini imported kama nyie