Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Hahaha mbona unafichua siri ya kambi[emoji1787][emoji1787][emoji28]

Unawaumiza ujue

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mmmmh we jamaa una tamaa sana...kuwa makini humu jf shauri yako[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu. Kama nilivyokujibu huko juu. Wengine tupo hapa kwa ajili ya kujifunza tu uhalisia wa mambo ulivyo. We unadhani ni rahisi mtu kubadili kazi kirahisi wakati sijui hata taaluma yake ni ipi?

Isitoshe wengine ajira siyo focus yetu tena. Tushapita hiyo hatua na sasa tunajitafuta wenyewe kwenye maisha.!

Kujifunza mambo ni vizuri maana unakuwa unaelewa maisha ya watu wengine yakoje. Bila shaka umenielewa mkuu.
 
Bonds zenyewe nazo riba zimeshuka

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana kila siku nawapa pole watumishi wa umma wa bongo kwakweli wana moyo hako ka take home kenyewe kama hujajipanga unakufa ghafla maana hata wiki hakitoboi duh. Poleni sana
 
jamani biashara ni ngumu aseee acheni tu mtu ukipata pakukupatia ata icho kdgo unashukuru
 
Unajifunza JF?..
Be careful

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Itamchukua karibu miaka ijayo 8 kumalizia deni la mkopo kwa rate ya marejesho anayofanya. Kama hana another source of income, ajipange. Laa sivyo, depression inamsogelea
 
Mnhh...🤣🤣🤣🤣
Milioni 42!!!?!!
Huo mkopo kunamchezo kachezewa na afisa mikopo wa hiyo bank kilichopo hapo kuna deni analilipa sio lake kwa sababu kwa makato ya huo mkopo +total interest+total loan to be payed + term in years naona haikokotoleki. Iwe mkopo wa mda mfupi au wa mda mrefu, unless kama kafanya topup au kahamisha madeni yake kutoka bank zingine inagawa bado hesabu zina goma.
 
Bajaj ya kukupa Tsh.20,000/= kwa sasa ni bahati sana wengi wapo kwenye 15,000/ kwa sasa
 
Itamchukua karibu miaka ijayo 8 kumalizia deni la mkopo kwa rate ya marejesho anayofanya. Kama hana another source of income, ajipange. Laa sivyo, depression inamsogelea
Huu mkopo sijauelewa kwakweli nahisi kuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…