witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji16][emoji16]Mmeanza usnge sasa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji16][emoji16]Mmeanza usnge sasa
Hahaha mbona unafichua siri ya kambi[emoji1787][emoji1787][emoji28]Sisi watumishi wa serikali ndo tunaelewa tunaishije,inshort sijui kwa kada za kawaida kama ualimu na udaktari lkn serikalini kwenye mashirika ya umma ns wizarani watu hatuishi kwa mishahara,mishahara ni kwa ajili ya kukopea tu,
Huo mshahara haujainclude ;
-over time ambayo mara nyingi huwa ni kianzia siku 20 kwa mwezi kwa rate ya kuanzia 30,000 kwa ofisa ambayo mtu anakuja 600,000,hiyo haikatwi kodi na ni fixed ipo kwnye standing order ya taasisi,
-kuna posho za vikao ambapo rate ni 100,000 kwa kikao na ofisa haipiti siku ukakosa kikao au kwa uchache walau kwa wiki una vikao vitatu,
-kuna madokezo ya posho,asilimia kubwa ya kzi serikali tunaandikia posho,kazi hiyohiyo niliyolipwa kikao pia naiandikia posho na jina la kwanza ktk dokezo la posho ni la mpitishaji malipo na wahasibu walipaji ambapo rate huwa ni kuanzia laki kwa siku,kama nimeandika kazi imefnyika kwa siku 7 nakunja laki 7 isiyokatwa kodi,etc,
Sijainclude safari,transport allowance,meal allowance etc,
Inshort mtumishi wa umma wa kwenye mashirika mengi na wizara hawaishi kwa mshahara,kwenda leo kazini kurudi na milipn 2 kawaida hapo nje ya rushwa na 10percent!1
Mmmmh we jamaa una tamaa sana...kuwa makini humu jf shauri yako[emoji848]Duh. Mkuu utakuwa unafanya kazi sehemu nzito nzito yenye Ulaji. Hongera mkuu. Japo nimetamani kujua ni Taasisi gani. Ila ndio hivyo unaweza usitaje jina tena.
Mkuu. Kama nilivyokujibu huko juu. Wengine tupo hapa kwa ajili ya kujifunza tu uhalisia wa mambo ulivyo. We unadhani ni rahisi mtu kubadili kazi kirahisi wakati sijui hata taaluma yake ni ipi?Mmmmh we jamaa una tamaa sana...kuwa makini humu jf shauri yako[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Bonds zenyewe nazo riba zimeshukaIle idea ya kununua bonds ikupate uwe na nyumba tatu, moja unaishi na mbili zinakupa laki saba kila mwezi. Ukitoa matengenezo unaweza kuwa na laki tano. Hii pesa na bado uwe unapata interest ya bonds zako BOT na una pension ya kila mwezi. Unaweza kumudu bia mbili kila jioni.
Huu ni utapeli, sasa sijui nani atamfunga paka kengeleMikopo ya banki ni wizi mtupu! Wakikupa 10m utalipa zaidi ya 18m. Wakikupa 20m jiandae kulipa zaidi ya 37m.
Afadhali uwe na guest bubu Uswahilini, sehemu za Bhuza guest ya vyumba 15 itakupa pesa ya kula kila siku.
Sifa za kukopa huna nani atakukupesha??endelea kukopa songesha n mpawaSitakaa nije kukopa
Hao chakuhawata wanapatikana wapi nijiunge nao.
Safari hii cwt hata Tshirt hawana
jamani biashara ni ngumu aseee acheni tu mtu ukipata pakukupatia ata icho kdgo unashukuruInategemea unalinganisha na nini. Kwa kulinganisha na huyo mwamba wa TGTS E1 anayeambulia 314 elfu,udalali unalipa.
NB nimechukua mfano wa kazi ya kujiajiri inayodharaulika kwa wengi usichukulie serious kila kitu humu japo kwa salary na takehome hiyo baada ya NMB kufanya yake ni bora kwenda kupiga udalali
Unajifunza JF?..Mkuu. Kama nilivyokujibu huko juu. Wengine tupo hapa kwa ajili ya kujifunza tu uhalisia wa mambo ulivyo. We unadhani ni rahisi mtu kubadili kazi kirahisi wakati sijui hata taaluma yake ni ipi?
Isitoshe wengine ajira siyo focus yetu tena. Tushapita hiyo hatua na sasa tunajitafuta wenyewe kwenye maisha.!
Kujifunza mambo ni vizuri maana unakuwa unaelewa maisha ya watu wengine yakoje. Bila shaka umenielewa mkuu.
Karibia 95% ya watumishi wanaokopa kwa ajili ya biashara mambo huenda mrama (Ndivyo sivyo). Take it from me, dude.!
Mwalimu atapata wapi hizo chenchiUnaweza kuta salary slip inasoma hvyo lakin vichechi chechi vinavyopatikana kazini ukivijumlisha kwa mwez mzima vinafika hata laki 6,kwahyo unakuta jamaa yupo njema tu
Tupo tulivyo Mkuu..Sasa hapo umeona kuna jina la mtu? Watu wengine sijui mkoje!
Itamchukua karibu miaka ijayo 8 kumalizia deni la mkopo kwa rate ya marejesho anayofanya. Kama hana another source of income, ajipange. Laa sivyo, depression inamsogeleaView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Huo mkopo kunamchezo kachezewa na afisa mikopo wa hiyo bank kilichopo hapo kuna deni analilipa sio lake kwa sababu kwa makato ya huo mkopo +total interest+total loan to be payed + term in years naona haikokotoleki. Iwe mkopo wa mda mfupi au wa mda mrefu, unless kama kafanya topup au kahamisha madeni yake kutoka bank zingine inagawa bado hesabu zina goma.Mnhh...🤣🤣🤣🤣
Milioni 42!!!?!!
Bajaj ya kukupa Tsh.20,000/= kwa sasa ni bahati sana wengi wapo kwenye 15,000/ kwa sasaInawezekana hata huo mshahara haugusi,biashara zinalipa sana nawaza labda ana bajaj zake mbili kila moja inaleta hesabu ya 20k so anapiga 40k daily,anaduka amelitega sehemu yenye mzunguko mzuri,mnawaza only one side kwamba anateseka na laki3 lakini inawezekana anaenjoy sana maisha baada ya huo mkopo.Kingine Huyu ni muajiriwa mzoefu tayari anajua anachofanya
Huu mkopo sijauelewa kwakweli nahisi kuna namnaItamchukua karibu miaka ijayo 8 kumalizia deni la mkopo kwa rate ya marejesho anayofanya. Kama hana another source of income, ajipange. Laa sivyo, depression inamsogelea
Hongera sana mwamba.Mimi kwenye deni nina 22 mil. Ila nna kibanda changu na viwanja viwili kimoja kina pagala na usafiru wa pikipiki na kula 314,000 tu