Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Besti ushauri kuntuUkiona hela yako ni ya kuunga unga unatakiwa ufanye hivi
Jenga kijumba kidogo cha kukustri nyuma kwenye kiwanja. Mungu akikujalia ukilipwa mafao ndiyo unajenga nyumba ya mbele na wajukuu wanapata vyumba vyao wakija kusalimia.
Wengine wana bahati wakiwa kwenye vibanda vya uwani mble watoto wao wanamalizia. Si watoto wote wana msaada wengine utawalea mpaka unaingia kaburini.
Inawezekana hata huo mshahara haugusi,biashara zinalipa sana nawaza labda ana bajaj zake mbili kila moja inaleta hesabu ya 20k so anapiga 40k daily,anaduka amelitega sehemu yenye mzunguko mzuri,mnawaza only one side kwamba anateseka na laki3 lakini inawezekana anaenjoy sana maisha baada ya huo mkopo.Kingine Huyu ni muajiriwa mzoefu tayari anajua anachofanyaView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Hata kama alinunua viwanja viwili kwa milioni 10 kila kimoja. Anaweza kuwa na wapangaji wa kumpa laki tatu kila mwezi na nyingine anakaa japo ni kibanda cha kujistir.Huyu alichukua mkopo 50mil kwahyo sidhani kama anateseka. Mkopo ulikua mtam sana kama alikua na medula oblangata
Hapo ndo kama ulichukua mkopo, ukajenga nyumba ikaishia kwenye renta sijui wenyewe mnaita[emoji38][emoji38][emoji38], bado utakuwa umepanga na kwa makato hayo kujenga tena subiri miaka 7au mitano deni likipungua. Hapo shughuli ipo, ndo mtu anaanza kuichukia kazi
Inamaana bank wanakula 20m sawa na mkopo...si ni utapeli huumzee hiyo 42m ni deni analotakiwa kulipa baada ya kupewa mkopo wake. kwa hiyo net loan aliyopewa inaweeza kua 20-25 m.
Kwa tafsiri nyingine ni kuwa, deni la bodi alikuwa amelipunguza kwa muda kidogo, kisha akawa ameliuza kwa NMB. Hao NMB wakampa mkopo mwingine ndio huo anapambana nao.Kwa haraka haraka huyo ni mwalimu wa daraja E1. Na anaonekana alishamaliza deni la bodi ya mikopo au hakupata kabisa kusomeshwa kwa udhamini wa HESLB kwa hiyo kaenda kajitungua milioni kama 25+ . Yeye ndo anajua kama amekamilisha malengo au bado.
Tukope kwa sababu maalum.
Tukope tukiwa tumeshafanya upembuzi kamili kwa miradi au mradi tunayoifanya
Unajifunza nini kutoka kwa mdau.Inawezekana hata huo mshahara haugusi,biashara zinalipa sana nawaza labda ana bajaj zake mbili kila moja inaleta hesabu ya 20k so anapiga 40k daily,anaduka amelitega sehemu yenye mzunguko mzuri,mnawaza only one side kwamba anateseka na laki3 lakini inawezekana anaenjoy sana maisha baada ya huo mkopo.Kingine Huyu ni muajiriwa mzoefu tayari anajua anachofanya
Karibia 95% ya watumishi wanaokopa kwa ajili ya biashara mambo huenda mrama (Ndivyo sivyo). Take it from me, dude.!What if mambo yake yanaenda vyema nje ya mshahara wake? kama mkopo unakutesa basi ni wewe wengine wanautesa mkopo!!
Du! 25+ ndio riba inafika 42+? kutoka ni kwa mbinde sanaKwa haraka haraka huyo ni mwalimu wa daraja E1. Na anaonekana alishamaliza deni la bodi ya mikopo au hakupata kabisa kusomeshwa kwa udhamini wa HESLB kwa hiyo kaenda kajitungua milioni kama 25+ . Yeye ndo anajua kama amekamilisha malengo au bado.
Tukope kwa sababu maalum.
Tukope tukiwa tumeshafanya upembuzi kamili kwa miradi au mradi tunayoifanya
Ni kweli, ila kutegemea maisha ya hivyo vichenchi chenchi kisha vikakosa utapata pressure. Unakuwa unaishi maisha yasiyo na uhakika wa kesho yako itakuwaje. Mapato pekee yaliyo ya uhakika ni mshahara wako.Unaweza kuta salary slip inasoma hvyo lakin vichechi chechi vinavyopatikana kazini ukivijumlisha kwa mwez mzima vinafika hata laki 6,kwahyo unakuta jamaa yupo njema tu
Iyo biashara imekufa baada ya kupandisha tozo usijaribu kuweka pesa yako huko utaliwaNimeangalia hyo slip mara mbili mbili, nimeona nianzishe tena biashara yangu ya uwakala, ilikuwa inanipa 400k kwa mwezi...nikaona ndogo, sasa kumbe kuna watu wanapata 300k kwa mwezi na ni wafanyakazi...narudisha biashara yangu
Kwa hiyo basic huwezi kupata 50M. Sanasana akikopa kwa miaka 7 atapata around 24M. Ambapo kwa miaka 5 ni kama 19M tu.Huyu alichukua mkopo 50mil kwahyo sidhani kama anateseka. Mkopo ulikua mtam sana kama alikua na medula oblangata
Hujui kusomaa number au Ni milioni 42 acha uzwazwaaMaelezo Yako tofauti na Salary Slip. Mkopo bi 42m dah