Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Nimejifunzaa ukiwa serekali na mshahara kuazia laki tisaa kupanda unaweza kuchukua mkopo kuazia milioni 40,binafsi nikipata huu mkopo nimeanga ufukaraaa,kwa jinsi nilivyo sota kwenye ujasiriamali nazani itazaa Mara 2
 
Kama mkopo alifanyia kitu cha Maana, hakuna chakupoteza hapo.
 
Nimejifunzaa ukiwa serekali na mshahara kuazia laki tisaa kupanda unaweza kuchukua mkopo kuazia milioni 40,binafsi nikipata huu mkopo nimeanga ufukaraaa,kwa jinsi nilivyo sota kwenye ujasiriamali nazani itazaa Mara 2
Kama una mipango ni vizuri kuchukua mkopo.
 
Nimejifunzaa ukiwa serekali na mshahara kuazia laki tisaa kupanda unaweza kuchukua mkopo kuazia milioni 40,binafsi nikipata huu mkopo nimeanga ufukaraaa,kwa jinsi nilivyo sota kwenye ujasiriamali nazani itazaa Mara 2
Hata kama unalipwa 1.6M kama basic salary huwezi kufikisha mkopo wa 40M. Utaishia kwenye around 36M hivi for 7 years. Hicho unachoona hapo ni mkopo aliokopa + riba
 
Nimejifunzaa ukiwa serekali na mshahara kuazia laki tisaa kupanda unaweza kuchukua mkopo kuazia milioni 40,binafsi nikipata huu mkopo nimeanga ufukaraaa,kwa jinsi nilivyo sota kwenye ujasiriamali nazani itazaa Mara 2
Sio lazima uwepo Serikalini ndio Ukope.
 
Kimsingi kama kawaida ya JF, mtoa Post alileta hoi post kwa lengo la kuponda utumishi wa umma ila majibu ya wadau mazuri na yanamvunja moyo. Yeye alitaka tuishambulie hiyo 300k anayoipata.
Mimi nina chini ya 500K kwa mwezi kama mshahara wangu toka TGS G sikuwa na loan board na nilikopa zaidi ya 40M ambayo inanisaidia kwenye mzunguko wa zaidi ya 1.2M kwa mwezi toka kwenye Kilimo, ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, duka la Pembejeo na bodaboda za mkataba. Kumbuka nilishajenga na nipo kwangu hapo.
Good, ili ufanikiwe zaidi achana na hiyo kazi.
Ujiajiri mazima kabla hujazeeka zaidi, akili ikaisha.
 
Bora yeye anapata hata hiyo 300,000 kwa sisi tulioamua kujiajiri na mitaji duni kuna mwezi unapita hujaingiza hata 50,000 na bado maisha lazima yasogee
Ni kweli, Maisha lazima yaendelee.
 
Sitakaa nije kukopa
Kukopa ni kuzuri kama uliplan kupata faida ya zaidi (au sawa na riba) ya riba unayolipa. Kama mtu alijenga nyumba, apangishe, na mapato kutoka kwenye kodi ya pango atakayolipwa yawe sawa au kuzidi makato ya mkopo anaorejesha kila mwezi (principal + interest), ili kumaintain positive cash flow.
 
Hapo imekuwaje sasa yeye anadaiwa Milioni 42?
Kwakweli najaribu kutafakari ni kipi kimetokea. Maana hata kama kachukuwa mkopo mwezi huu, jumla ya deni ilitakiwa isome kama 37M hivi Kwa mkopo wa 7 years.

Hilo deni linawezekana tu endapo NMB wana mikopo ya kufikia miaka 8. Yaani kama amekopa kwa muda wa miezi 96 (miaka 8) hilo deni liko sawa.
 
Kwa haraka haraka huyo ni mwalimu wa daraja E1. Na anaonekana alishamaliza deni la bodi ya mikopo au hakupata kabisa kusomeshwa kwa udhamini wa HESLB kwa hiyo kaenda kajitungua milioni kama 25+ . Yeye ndo anajua kama amekamilisha malengo au bado.
Tukope kwa sababu maalum.
Tukope tukiwa tumeshafanya upembuzi kamili kwa miradi au mradi tunayoifanya
Very good point
 
Vitu vya Maana ni biashara mkuu.
Kuuza na kununua hasa mazao(nafaka) mchele, maharage n.k, ukivifanya kwa bidii na uangalifu unapiga pesa fresh kabisa.
Naomba uchukuwe huu utafiti uchwara niliofanya mie mkuu.

Matokeo ya utafiti wangu uchwara ni kuwa karibia 95% ya watumishi wanaokopa kwa ajili ya biashara, hizo biashara zao hazifanikiwi.

Kama huyo ndugu yupo kwenye hiyo 5% basi ana bahati sana na amshukuru sana Mungu kwa hiyo neema.

Wengi hawafanikiwi. Hizi biashara ni ngumu mtu asikwambie. Halafu weka sasa hawa watumishi biashara zao ni za kuagiza. Hafanyi yeye.
 
Back
Top Bottom