Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Mkuu ni bank ipi wana mfumo wa reducing balance? Tufahamishane tafadhali.
 
Akiachana na Kazi atafanya biashara kwa ufanisi zaidi.

Hiyo kuendelea kuajiriwa huku umejiajiri bado huna uhuru wa Kusimamia biashara, kimwili na kiakili.

Maybe kama ameamua awe moderate!!
 
Hasira za nini mkuu.
 
uñahisi cc tunaojadili hatuna ajira au tupo tupo tuuu
acha dharau...!!


tuoneshe wako mm wangu ni huu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Akiachana na Kazi atafanya biashara kwa ufanisi zaidi.

Hiyo kuendelea kuajiriwa huku umejiajiri bado huna uhuru wa Kusimamia biashara, kimwili na kiakili.

Maybe kama ameamua awe moderate!!
Wote (wewe na huyo ndugu unayemjibu) mpo sahihi kulingana na kipi mtu anaona ni value kwake. Values hutofautiana baina ya mtu na mtu.
 
Thread closed.
 
Kwel kabisa
 
Hongera boss
 
View attachment 2200989

Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake

Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Nilichojifunza ni kuona mfuko wa PSSSF hauna hela, tutateseka sana kupata hela zetu, sio kwa contribution hiyo[emoji3064]
 
Uko sahihi kabisa
Mikopo inariba mfano ukichukua million 10 unatakiwa urudishe 17 kwa miaka labda 6 au saba...kwahyo unawezekana kabisa uyo jamaa alilamba 24 wakaikokotoa ndio anadaiwa 42
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…