Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 479
- 1,071
Mkuu ni bank ipi wana mfumo wa reducing balance? Tufahamishane tafadhali.Kama nimeelewa vizuri, hiyo mil.42 inahusisha principal na interest. Kwa hiyo inawezekana alikopa mil.25. Halafu inawezekana anakatwa kwa mfumo wa straight balance, ambao unaumiza zaidi. Tunapokopa tuulizie na mfumo wa marejesho. Mfumo rafiki wa marejesho ni reducing balance.