Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sawa sawa uko sahihiZahera wala hakuwa na tajiri kutoka Congo bali ni wajanja wa hapa hapa Bongo wakina Ndama na wenzake waliokuwa wananufaika na utengenezaji was jezi za Yanga,kila wiki walikuwa wanafyatua jezi mpya.
Utajifunza mengi ukiwa hivi ,safi sanaKumbe? Asante kwa masahihisho Mkuu.
Nimeliumbua hili bumunda. Halina utetezi tenaKafie mbali.
Ni kweli kabisa,huwa napenda watu waone hivyoNapenda sana kujifunza, huwezi kujua kila kitu.
Unaonekana una njaa na stressUnachekesha kweli, nenda kaandike huo unaosema ni ukweli acha kunijazia comments za kijinga hapa.
Hoja hupingwa kwa hoja.
We. Mjinga sana hujui hata muundo wa Simba ulivyo kiuendeshaji.Huna unachokijua wewe, huyo Mo sasa hivi analazwa na viatu na Try Again.
Mangungu wameungana na Try Again, sio vita rahisi kwa Mo.
Ngoja tuone huu mchuano utaishaje.
Kumbe ni wewe?1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Masandakolozidad SC.
Wewe ni propagandistTry Again ameteseka sana na timu. Hivi tunavyozungumza Mo amepiga panga posho zote kwa wachezaji ndio maana unaona timu inayumba.
Usajili walifanya mbovu sababu ya kukosa sapoti ya Mo, yeye Try Again atapata wapi pesa za kufanya usajili wa maana?
Mambo niaje lakiniKumbe ni wewe?
Jaribu tena, hana mchezo, anataka kufanya mapinduzi yakimafiaFresh Mkuu.