Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Hans alikua anaogopeka kwa wote..angewatuliza
Yule jamaa mpaka leo naamini Yanga tumefanikiwa kung'aa baada ya yeye kufariki, alitunyanyasa sana.

Siku niliyopata taarifa ya kifo chake niliwaambia marafiki zangu, "Simba imekwisha".
Sikuwa nikikubaliana na fitna zake ila lazima nikiri alikuwa mfalme wa soka la bongo. Apumzike kwa amani.
 
Serekali inakosea hawa matajirk ni maadui huku duniani unalazimishaje wawe wa tatu
Hili ni kosa ile timu apewe mo kwa asilimia 100 kama akitaka hio ndo suluhisho
Mkuu, kuna mengi huyajui japo unaniambia mimi sijui. Kuna siku nilipewa historia ya hivi vilabu, serikali haitokaa iruhusu hilo la mmiliki kuwa mmoja.

Hata huu mchakato kurudiwa ni baada ya kushtuka Mo amekuwa na 'nguvu' kubwa ambayo sio kisoka pekee, anaweka maslahi fulani hatarini.
Nikuhakikishie serikali haitokaa iruhusu hilo, hata hii migogoro wakati mwingine inatengenezwa.
 
Yule jamaa mpaka leo naamini Yanga tumefanikiwa kung'aa baada ya yeye kufariki, alitunyanyasa sana.

Siku niliyopata taarifa ya kifo chake niliwaambia marafiki zangu, "Simba imekwisha".
Sikuwa nikikubaliana na fitna zake ila lazima nikiri alikuwa mfalme wa soka la bongo. Apumzike kwa amani.
Hahahahaha yule ni master..kuna kipindi tulienda kigali kucheza Kagame Cup..Hans akaja ktk maongezi akasema we Dogo huku kigali ni kwenu sasa kuna kazi nataka uifanye kesho tushinde...yule jamaa ni master alikuwa

Nafasi ya Hans mtu anayeiweza pale Simba ni Nyange Kaburu au Kassim Dewji
 
Na ukaifanya hiyo kazi mkashinda? Lol

Sasa kwanini asikae Kaburu? Au hayuko sawa na Rais wa heshima?
 
Mkuu, kuna mengi huyajui japo unaniambia mimi sijui. Kuna siku nilipewa historia ya hivi vilabu, serikali haitokaa iruhusu hilo la mmiliki kuwa mmoja.

Hata huu mchakato kurudiwa ni baada ya kushtuka Mo amekuwa na 'nguvu' kubwa ambayo sio kisoka pekee, anaweka maslahi fulani hatarini.
Nikuhakikishie serikali haitokaa iruhusu hilo, hata hii migogoro wakati mwingine inatengenezwa.
Ndo maana hivyo vilabu ni maskini wa kutupa kwa ujinga wa serekali
Mambo mengine yanahitaji common sense
 
Back
Top Bottom