Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hans alikua anaogopeka kwa wote..angewatulizaHivi angekuwepo Hans Pope hii vita ingekuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hans alikua anaogopeka kwa wote..angewatulizaHivi angekuwepo Hans Pope hii vita ingekuwaje?
Fanya hivyo tafadhari!Ufafanuzi umeshatolewa hapahapa kwenye huu uzi Mkuu, ngoja niitafute hiyo post nikutag.
Huo ufafanuzi ni kama pale DRC,Moise Katumbi anamiliki Tp Mazembe...mkewe na mwanae wanamiliki Don Bosco , zote zinacheza ligiSuchAbra Ufafanuzi huu hapa.
Yule jamaa mpaka leo naamini Yanga tumefanikiwa kung'aa baada ya yeye kufariki, alitunyanyasa sana.Hans alikua anaogopeka kwa wote..angewatuliza
Mkuu, kuna mengi huyajui japo unaniambia mimi sijui. Kuna siku nilipewa historia ya hivi vilabu, serikali haitokaa iruhusu hilo la mmiliki kuwa mmoja.Serekali inakosea hawa matajirk ni maadui huku duniani unalazimishaje wawe wa tatu
Hili ni kosa ile timu apewe mo kwa asilimia 100 kama akitaka hio ndo suluhisho
Hahahahaha..ujuaji lkn hawajui sasa ..na ndio maana nakaaga kimya tuSi unaona kuna mapopoma yanaleta ujuaji?
Natamani sana kuona nani ataibuka mshindi kwenye hii vita, naifuatilia hatua kwa hatua.Na ndio tatizo..kifupi Mo kawageuka wenzie FoS kiasi kwamba akaligawq kundi ili afanikiwe mipango yake..ila watoto wa mjini wanamkazia maana nao wanajua ulaji wa ktk soka
Mo kushindaa ni Ngumu maana anataka kuhodhi zile 49% na pia kuzicontrol zile 51% kitu ambacho ni ngumuNatamani sana kuona nani ataibuka mshindi kwenye hii vita, naifuatilia hatua kwa hatua.
Na nitaleta mrejesho.
Hahahahaha yule ni master..kuna kipindi tulienda kigali kucheza Kagame Cup..Hans akaja ktk maongezi akasema we Dogo huku kigali ni kwenu sasa kuna kazi nataka uifanye kesho tushinde...yule jamaa ni master alikuwaYule jamaa mpaka leo naamini Yanga tumefanikiwa kung'aa baada ya yeye kufariki, alitunyanyasa sana.
Siku niliyopata taarifa ya kifo chake niliwaambia marafiki zangu, "Simba imekwisha".
Sikuwa nikikubaliana na fitna zake ila lazima nikiri alikuwa mfalme wa soka la bongo. Apumzike kwa amani.
Lakini naona haya yote yametokea baada ya yeye kwenda kuishi nje, fimbo ya mbali haiui nyoka.Mo kushindaa ni Ngumu maana anataka kuhodhi zile 49% na pia kuzicontrol zile 51% kitu ambacho ni ngumu
Inawezekana ikawa ni sababu ila ilikua suala la muda tu kufika hapaLakini naona haya yote yametokea baada ya yeye kwenda kuishi nje, fimbo ya mbali haiui nyoka.
Mpaka sasa yeye ndio yuko kwenye wakati mgumu.
Na ukaifanya hiyo kazi mkashinda? LolHahahahaha yule ni master..kuna kipindi tulienda kigali kucheza Kagame Cup..Hans akaja ktk maongezi akasema we Dogo huku kigali ni kwenu sasa kuna kazi nataka uifanye kesho tushinde...yule jamaa ni master alikuwa
Nafasi ya Hans mtu anayeiweza pale Simba ni Nyange Kaburu au Kassim Dewji
Mama umenenaMsemakweli ni mechi ya simba na yanga tu, zingine zote porojo.
Kazi ilifqnyika na timu ikashinda tukatolewa robo na APRNa ukaifanya hiyo kazi mkashinda? Lol
Sasa kwanini asikae Kaburu? Au hayuko sawa na Rais wa heshima?
Ndo maana hivyo vilabu ni maskini wa kutupa kwa ujinga wa serekaliMkuu, kuna mengi huyajui japo unaniambia mimi sijui. Kuna siku nilipewa historia ya hivi vilabu, serikali haitokaa iruhusu hilo la mmiliki kuwa mmoja.
Hata huu mchakato kurudiwa ni baada ya kushtuka Mo amekuwa na 'nguvu' kubwa ambayo sio kisoka pekee, anaweka maslahi fulani hatarini.
Nikuhakikishie serikali haitokaa iruhusu hilo, hata hii migogoro wakati mwingine inatengenezwa.
Simple Jaribu tena anasimamia maslai ya moo in short ni mwajiriwa wa Moo, Magugu anawajikisha wanachamaSasa Mangungu ana nguvu gani pale Simba zaidi ya kufungua na kufunga mikutano?