Hallow! Halooo! Mheshimiwa Rahisi naomba majina ya wabunge ili niwateue kamati ya Almasi na Tanzanite!yani imefika hatua Ndugai anampigia simu Pombe kumuomba majina ya wabunge wa kuteuliwa kama wajumbe wa kamati mbalimbali.
Mbunge mmoja anapata 40mil za mfuko wa jimbo, chama kina ruzuku ina maana walishatafuna hela yote hadi Turky (CCM) kajiweka bond?Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Dharura gani wakati CCM walishajipanga na Polepole alishaandika barua ya pole mwezi mmoja kabla. Dharura ilikuwa kwa watu wa Chadema tu lakini yule aliyekuwepo Dodoma Hotel anapanga tukio hawezi kuamini kama ile ni dharura. CCM Mungu anawaona mjueUnajua maana ya kudhamini? halafu so kila wakati uwe na cash mkononi, kumbuka ile ilikuwa dharura.
Yaelekea hujui hata maana ya invoice.. Invoice imeandikwa $9,000 ambayo ni equivalent to 19.5 million TAS. Sio lazima uchangie kila kitu.Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Mshamba sana wewe! Kutokuwa na cash 18m kwa wakati ule sio kutokuwa na hela. Fedha za chama zina taratibu zake za kutoka na pengine mbunge huyo wa ccm ana mahusiano mazuri na hiyo kampuni ya ndege ndio akaweka dhamana.
JF sasa hivi imevamiwa nawajinga, wachawi na wenye roho za chuki kama baba yenu na huyo mgogo wa mjengoni
Ulongo gani? We badala ya kumnukuu Spika ninyi mnanukuu Mtanzania.vipi ndugai atafikishwa kwenye kamati ya maadili lini kwa kusema uwongo bungeni we gamba?
Expenses inakuwa treated as expenses inapokuwa incurred, sio pesa anapolipwa.. acha kujifanya unajua taaluma za watu.Si tuliambia yale matumizi ya "zaidi ya sh. 100m" ni pamoja na ya usafiri wa ndege! Jamani, jamani, jamani, hapa kuna kitu fursa kwa baadhi ya watu.
Maisha haya upigaji hautaisha....mchana tochi usiku magogo!Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Yaani ndio kusema kwamba Lowassa kafilisika kiasi hicho? Au Lowassa hamwamini MboweLaughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Hahahaha Mbowe sio lofa, hakuna Mmachame lofa hapa dunianiHa! Ha! Mbowe kashawapiga CHADEMA mkwanja, nimeshangaa Mbowe kuwa karibu kumuuguza Lissu kumbe kuna faida anapata. Risiti alizotoa Msigwa zimeandikwa Mbowe badala ya CHADEMA.
Hiyo ya chini ni equivalent figure in TadWamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
TzsHiyo ya chini ni equivalent figure in Tad
Kwahiyo chadema, Mbowe au Lowassa hawadhaminiki?Fedha ya chama haitolewi kama ipo kwenye line ya M-pesa
We ulitaka wakachelewe bank kufanya michakato ya kutoa fedha ya chama ili mgonjwa wachelewe kumpeleka hospital halafu iweje?
Au ili malengo yenu yatimie uzuri imeshalipwa na mumezibwa mikebe yenu,
Lowassa hatoi tena hata kumi kwa chadema, ameshaona Mbowe atamchinjia baharini 2020