DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Yeah ni kweli
Na huenda alishafanya analysis kuweza kupima Ukubwa wa maamuzi atakayoyafanya
Sisi kama walaji wa habari, tunasubiria kazi nzuri kutoka kwake
We wish him best of luck ππ
Huyo Ayoub Ryoba ni nani mpaka akomae mwenyewe asitolewe.we jamaa acha vituko yani wanatolewa Mawaziri Wakuu who is Ayoob Ryoba??Jamaa walimdanganya atapewa TBC Ayoub akakomaa hatoki mtu hapa.
Absolutely Sir π₯Yes na ktk kufanikiwa unabidi kukubali kuwa starter na sio finisher
Infact huyu jamaa aliacha kazi BBC kwa ahadi ya kupata ajira yenye donge nono ila ikashindikana.Seriously?
Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo π
Hii Crown media ni nini mkuu? Ni TV ya online? Inamilikiwa na nani? Kwani huyu jamaa mbona alienda EFM au alikuwa anatest tu mitambo?Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha.
Ila hii mbinu ya kudiss kuonesha anaenda sehemu fulani kwa kudiss redio nyingine mnaionaje Wakuu?
Kwamba aligoma kupokea simu kutoka WACHA FUU FM (Wasafi), KISINGELI FM (EFM) pamoja na ICE CREAM TV (Azam TV) na kupokea simu ya KING (Crown FM) kwa Ali Kiba.
Hawawezi kutangaza ujio wao kwenye media hizo bila diss?
Aisee, pole yakeInfact huyu jamaa aliacha kazi BBC kwa ahadi ya kupata ajira yenye donge nono ila ikashindikana.
Kwa nature ya watangazaji walioacha kazi London, inaelekea Salim naye ilikuwa hivyo hivyo ila akajikuta anakosa bara na visiwani
Kule BBC kuna uwezekano alifukuzwa kazi lakini ameamua kusema uwongo kuwa aliacha kazi mwenyewe. Anyway, wakati utaongea.Seriously?
Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo π
Ni mmiliki piaHii Crown media ni nini mkuu? Ni TV ya online? Inamilikiwa na nani? Kwani huyu jamaa mbona alienda EFM au alikuwa anatest tu mitambo?
. Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare MatinyiInfact huyu jamaa aliacha kazi BBC kwa ahadi ya kupata ajira yenye donge nono ila ikashindikana.
Kwa nature ya watangazaji walioacha kazi London, inaelekea Salim naye ilikuwa hivyo hivyo ila akajikuta anakosa bara na visiwani
Wewe ni mke wa Kiba?.Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha.
Ila hii mbinu ya kudiss kuonesha anaenda sehemu fulani kwa kudiss redio nyingine mnaionaje Wakuu?
Kwamba aligoma kupokea simu kutoka WACHA FUU FM (Wasafi), KISINGELI FM (EFM) pamoja na ICE CREAM TV (Azam TV) na kupokea simu ya KING (Crown FM) kwa Ali Kiba.
Hawawezi kutangaza ujio wao kwenye media hizo bila diss?
Wewe unajua nini kuhusu yeye kuacha/kuachishwa kazi mkuu? Hebu tueleze kinagaubaga tufunge huu mjadala.Tuweke maneno ya akiba.. Sidhani kama Kikeke kwa exposure na uelewa wake mkubwa kwenye tasnia ya habari kafanya maamuzi ya kukurupuka. Tatizo wabongo wengi tuna tatizo la kumuongelea mtu kummaliza kudhani kuwa tuna akili kumshinda muhusika.
Ni co - founder pia wa hiyo Crown media.Seriously?
Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo π
Mbona sio tatizo mkuu as long as analipwa pesa anayoitaka? 50 Cent na udogo wake kumbuka aliwa sign Mobb Deep, sio jambo la kushangaza hata kidogo.Nami nahisi ilikuwa hivyo japo Kuna Siasa hapa kati zinasema aliandaliwq kuwa mrithi wa Charles Hilal pale Azam ama kuwa mrithi wa Ayoub Ryoba pale TBC
All in all Kwa exposure yake alipaswa awe anamiliki online tv na blogs huku akiwa amewaajiri Vijana kadhaa
Badala yake unakuja kuajiriwa na Alikiba π