Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

Mbona sio tatizo mkuu as long as analipwa pesa anayoitaka? 50 Cent na udogo wake kumbuka aliwa sign Mobb Deep, sio jambo la kushangaza hata kidogo.

Pia Kikeke ni co founder wa hiyo radio na Tv, angalia bio ya social networks zake ujiridhishe.
Kama naye atakuwa ni co-founder basi ana haki ya kufanya kazi kwenye hiyo radio as atakuwa anahisa nayo
 
Hapo sawa, nilidhani ameacha kazi kule ili aje aajiriwe na Kiba 🙌
 
Ni mkataba uliisha na hawakuona haja ya kuendelea naye, sio mapumziko ama kuchoka mwenyewe.
Okay

Vyema ameamua kujiongeza kufanya Uwekezaji binafsi, Kuna mdau hapo juu amesema naye ni co-founder wa hiyo Crown media 🙌
 
Ni mmiliki wa hiyo crown media.
 
Ni kweli.
Mentor ni Kusaga, hata frequency ndie kampa.
Kiba ni kama mondi pale wasafi.
Bora amejiongeza, ni aibu kufanya kazi Ulaya miaka na miaka then uje uajiriwe na akina Kiba

Kuna level ukifika utafanya kazi kama expert ambapo utalipwa Kwa kazi maalumu
 
Kikeke aliomba kuondoka BBC kwa hiyari yake na BBC waligoma then baada ya muda wakamruhusu, kwa maelezo yake yeye mwenyewe maisha ya ulaya yalishamchosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…